chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 903
Pole sana
Kama waliweza kwa Mwakyembe, mwandosya Mwaulimboka, .....watashindwa kwa mwaterezya!!! Haya tuna amani au utulivu!Wito wangu kwa Serikali, ichukue hatua katika masuala ya msingi ya Kitaifa kama haya..hii hali haikubaliki hata kidogo, kundi la watu lina mtisha mpaka waziri sasa tunasemaje kuhusu serikali isiyoweza kuzuia upuuzi kama huu
mi nilishasema kwa jk siku yake ikifika na mi nipo hai, nitakuwa callabash nacheza tukunyema! sitalala wallah!
acha kupotosha uma mkuu,soma vizuri gazeti la mwananchi ukuras awa tatu,hajatekwa ila alikutana na watu wamefunika nyuso zao wakampiga then wakamwamibia hizo nyumba zikibomolewa hataishi.plse rekebisha heading yakoSAKATA la ubomoaji majumba ya kifahari yaliyojengwa katika fukwe za Dar es Salaam limechukua sura mpya baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Dk Terezya Huvisa kufichua siri ya uhalifu.
Waziri amesema mbali na yeye kutishwa kuuawa, pia Mwanasheria wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Heche Manchare ametekwa na watu wasiojulikana wakiwa wameficha nyuso zao kwa vitambaa na kumpiga kisha kumtelekeza eneo ambalo hakulitaja.
Sitegemei kuona nilichokiona kwa Nyerere siku rais Mkapa au jK akifa. Labda Mwinyi
Nahisi kuna agenda ya siri vile! Anataka tuamini kwamba Mwanasheria amepigwa na watu wenye hasira ya kupoteza nyumba zao hivyo na Dr. Ulimboka alitekwa na watu wenye hasira ya kupoteza ndugu zao. Nahisi haya ndo mazingira yanayojengwa!!!
Jeshi la polisi na usalama wa taifa wameenda likizo,tusubiri wakirudi tuone Kova atarudi na picha gani,ya mkenya au msomali.
Kajenga huko nini? Maana yale majumba niliona ni ya over 500!!! Nasikia kuna mwenye la over 3 billion!!! Tanzania hii mhhhhhhhhhh.Mtekaji lazima atakuwa Joshua Mulindi wa Ikulu
Riwaya mpya imeanza!! Polisi "muhusika mkuu" sijui tukimbilie wapi!!
SAKATA la ubomoaji majumba ya kifahari yaliyojengwa katika fukwe za Dar es Salaam limechukua sura mpya baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Dk Terezya Huvisa kufichua siri ya uhalifu.
Waziri amesema mbali na yeye kutishwa kuuawa, pia Mwanasheria wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Heche Manchare ametekwa na watu wasiojulikana wakiwa wameficha nyuso zao kwa vitambaa na kumpiga kisha kumtelekeza eneo ambalo hakulitaja.
Kubomowa sawa kama wamejenge sehemu ambazo haziruhusiwi kisheria.
But wale waliowapatia HATI za UJENZI wamechukuliwa hatua gani?
Na kama kweli wana hati HALALI ZA UJENZI from the same Govt basi inabidi walipwe fidia kabla ya kubomolewa.
Serikali isicheze double stds lazima iingie gharama kwa UZEMBE uliofanya na watendaji wake.
Cacico usinisahau. Sijui Callabash ni wapi. Nipigie na mimi nitaungana na wewe huko.mi nilishasema kwa jk siku yake ikifika na mi nipo hai, nitakuwa callabash nacheza tukunyema! sitalala wallah!