Huu si ni ule umoja wa wasaliti? Ndiyo wanataka kumsimsmisha Hamad Rashid kama mgombea urais?
Mpora wake za watu na mtembea na mahawara,wabunge wa viti maalumuKutengeneza combination ya Mbowe & Slaa (katika mazingira ya chama (CCM) kushika hatamu) inaweza kugharimu miaka mingine 20......
Dk kitila mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa ACT kupitia Clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri Zitto aje kugombea uwenyekiti.
Mpora wake za watu na mtembea na mahawara,wabunge wa viti maalumu
Alipokimbilia,hakuna maslahi,hakuna mvuto...polepole anajipoteza mwenyewe.
Ngumu kuamini Zitto anaweza kufanya makosa hayo.
Siasa yahitaji maarifa,ndiyo maana zamani tulikuwa na somo la siasa...limeondolewa,waliovamia wanabaki kung'aang'aa na kutangatanga kila siku...aibu tu.
Kama UKAWA kweli wamejiunga basi for the Case of a Common Cause na hawa ACT wajiunge na UKAWA
View attachment 156117
sio kumkaribisha zitto kwani zitto ndiyo mlezi wa chama hicho.