Recent content by Joste

  1. Joste

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wahurumieni watanzania

    Wewe ni mpumbavu kama lema na wenzake
  2. Joste

    JamiiForums Tanzania Jamani nakufa mwenzenu kwa stress

    Na bado... jaribu kumuelewa na baadae utagundua mtindo wa kuishi nae... stress zote zitakwisha. Mimi niliamua kufunga milango ya hasira na kufungua gate la upole hasa wakati wa matatizo. Sasa hivi naishi nae kwa raha mstarehe
  3. Joste

    JamiiForums Tanzania Nyerere Against Islam in Zanzibar and Tanganyika

    Naona unazeeka vibaya. Haya mambo ya Udini unaendekeza kwa nini.... mbona kichwa ngumu sana wewe .... pumbafu
  4. Joste

    JamiiForums Tanzania Hiii ndio Tanzania ya MFALME KIKWETE

    Unashindwa hatakufikiri, waza basi
  5. Joste

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Rais JK amepotosha Umma

    Nilikuwepo, hakusema kilichoandikwa humu. Kimsingi alisifiwa na watafiti kwa kuongeza bajeti ya utafiti na kukarabati miundo mbinu ya utafiti nchini. Fuatilia alichowasilisha mkurugenziwa Tume ya sayansi na reaction ya president baada ya hapo
  6. Joste

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

    Toa hoja usitukane pumbafuuuuu
  7. Joste

    JamiiForums Tanzania Upepo wa Kisiasa Wageuka; CCM Juu, CHADEMA Hakieleweki

    Naona kama uchambuzi huh unaukweli sana. Isije ikawa kama CUF, ipo ipo kiruzuku zaidi
  8. Joste

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa: Safu Mpya ya CCM imejaa Taswira ya Ufisadi

    Katika viongozi vimeo ninaowajua mmoja wapo ni huyu Mzee wa kimbulu. Anachotaka kukiona ni vurugu na maneno yasiyo na tija. Mipango ya chama kingine inamuhusu nini? au hana la kufanya nini. Namshauri aende karatu kulima nagono maana hana capacity hata ya kujadili hoja badala yake amekuwa mtu wa...
  9. Joste

    JamiiForums Tanzania Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    Maelezo yake yataendelea kuwa yake na kwamba hatuna source nyingine kubishana. Hivi ni nani anaweza kuthibitisha anachosema.
  10. Joste

    JamiiForums Tanzania IIAG's REPORT: Tanzania ni nchi ya KUMI BORA katika Uongozi Afrika 2012

    Unajua maana ya urais kweli. Linganisha mambo kwa ukweli. Kuwa hewani maana yake nini
  11. Joste

    JamiiForums Tanzania Kuna chuo elimu ya juu tz chenye hadhi ya chuo kikuu?

    Wewe kenge kweli. Wasomi wote hapa nchini wamesomea wapi? Acha kujizalilisha bana
  12. Joste

    JamiiForums Tanzania Ukweli: CCM haina hata Viongozi!

    Mifano unayotumia haina ulinganishi. Mbona hutaji watu au mambo mazuri wanayofanya. Utaishia kupiga chabo vitu vidogodoga mpaka lini
  13. Joste

    JamiiForums Tanzania CDM na Tanzania ninayo itaka

    Nataka TZ hii: 1. Visionary leadership, having the capacity to set institutions of governance that will take this country 100 years ahead 2. Capable leaders capable of translating the vision into action for prosperity, rule of law and accountability 3. Leaders whose ambition is to lead and not...
  14. Joste

    JamiiForums Tanzania Mbatia aonya kuhusu mauaji ya raia

    Mbatia anaakili kuliko wewe
  15. Joste

    JamiiForums Tanzania MISTAKE ON TCU GUIDEBOOK:KUANDIKA KOZI YA Bsc in GEOLOGY 3yrs kumbe ni 4yrs

    Sasa kwa nini unalaumu kila mtu kwa kosa la TCU.
Back
Top Bottom