Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

Mapinduzi au kuiondoa serikalini uanzia nje ya nchi kila kitu support na mbinu,.nakuomba google kitu hiki.maandamano ya kila nchi yaani china in usa,russia in usa,kenya in usa,ghana in usa,gambia in usa,togo in usa and so on utapata jibu.Alafu kwa tawi la marekani ni muhimu kwani wanaweza kuongea na congress hapa na kuzuia pesa zikatwe kuja Tanzania ,kuna vitu vingi sana,subiri uone basi .
 
Mwali nimekuelewa sana sasa ........that they are just human beings eager for a bigger bread and butter

Richard......why do yu think that the ones in system (incumbents) are the only capables and that the dispora will be the panacea??????

@ ZeMarcopolo............is it true that you dont find a difference between the resident at Ulyampiti in Singida and the one in Washington D.C simply because they are all Tanzanians.....why are you reducing yourself to this level?????
 
Last edited by a moderator:

I'm sorry I didn't say Diaspora is capable or panacea to solve any problem

I did explain clearly and I gave two real examples to harness my view.

By the way thanks for highlighting the so called incumbents as the term is usually used in reference to elections in which races can
often be defined as being between an incumbent and non-incumbent(s).

So its not bad to suggest otherwise.
 
Mimi nilijiunga na CCM huko nyumbani miaka 30 iliyopita na mpaka leo ni mwanachama hai wa ccm sasa kwanini nisijishirikishe na chama hicho leo japo nipo kwenye diaspora..

Aguments nyingi za kupinga zinakosa hoja kwa vile wanaobeza vyama vya siasa kwenye diaspora hawana msingi wa hoja yenyewe kwani wanafikiri wote wanaojihusisha na siasa huku diaspora basi wamekurupuka hukuhuku kwa masilahi yao!!! Siasa wakati mwingine ni fani,interest n.k ni zaidi ya njaa na shibe.

Huwezi fananisha muono wa mtu na njaa ya kawaida eti wanatafuta namna ya kupata chochote kutoka nyumbani..!!!huko nyumbani kuna nini mbona mnalalamika CCM haijafanya chochote sasa tuje tushibe nini???!!!
 
Good....decantation has started finally so kuna watu real na maslahi binafsi sio???? Hapo ndo was my target ndo maana I am insisting that this ghost has not to be taken for granted.....sasa mliopo huko ndo mjichuje tupate nani ni nani..........hongera kwa kukaa mbali na battle grounds kwa muda mrefu.......ndege ya vita isiyo na rubani.....technology ya hali ya juu mpaka kwenye siasa.......tutafika tu ingawa tutakuwa wachache na tutakuwa tumechoka sana
 
I'm sorry I didn't say Diaspora is capable or panacea to solve any problem

I did explain clearly and I gave two real examples to harness my view.

By the way thanks for highlighting the so called incumbents as the term is usually used in reference to elections in which races can
often be defined as being between an incumbent and non-incumbent(s).

So its not bad to suggest otherwise.

Richard brother.......you might be right lakini siasa na hao walio front lines are the replicas of what you term as incumbents thats why i said we need someting more than serious.............

Usajili mpya pamoja na wachezaji wa mataifa mengine....kocha mpya....na format mpya sio uhakika wa ushindi mkuuu yanahitajika mambo mengine mengi tu zaidi ya hayo ndo maana nasema we need something more serious than the current mission
 
This mindset is convinced that there is a clear demarcation line between "contributing in development in terms of knowledge/ exposure" and "leadership".

One can say the two need not be separate. Furthermore, one can even claim convincingly that the former is a core component and requirement of the latter.

Mie opposition yangu kwa haya matawi si fundamental. Nimeshasema na recognize haki za raia wa Tanzania kuwa na political association hata wakiwa nje ya nchi, in fact the opposite is the epitome of totalitarianism characterized by some Stalinist's tentacles stifling political association even outside the mother country's borders. Refer to Stalin's assassination of Trotsky in Mexico City and Paul Kagame's assassination attempt on the person of Gen. Faustin Kayumba Nyamwasa in Johannesburg.

I am simply nauseated by the current shyster's skylarking and pretense on the part of usurpers and impostors to the reign of the process of change. And this, again, boils down to the roots of their culture of using party politics as a ladder for their shameless social climbing solely for personal gain.

Why, most of these people have no clue what is the party ideology beyond the CCM bashing blah blahs and incoherent regime change distorted rhetoric.

Ask them how they would control inflation once in power and they can't even muster a generic burgeoned boilerplate abracadabra on how to clean BOT.

And don't take this as a defence for CCM either, rather as a challenge to and disappointment from the dancing opposition.

Mkuu thanx a lot.......Richard @ hii mambo una-opine vipi????
 
Kuna kitu ambacho najiuliza sipati jibu labda ni kujitafutia posho za safari za nje au la...labda CHADEMA mtakuja nijibu ingawa najua yatakuwa ni matusi tu.. Nimekuwa nikiona CHADEMA wanakasi kubwa sana kufungua matawi ya CHADEMA nje ya nchi lakini cha kushangaza huku ndani Tanzania CHADEMA hakuna ofisi hakuna matawi wala hawana makatibu wa wilaya wala wa kata wala vijiji wala vitongoji....

Mfano katika vijiji vya pande, njinjo,lupingu ,pande na sehemu nyingi sana hata idadi yake huwezi pata hakuna tawi wala kiongozi wa chama cha CHADEMA? lakini wenzao wa CCM wana matawi na viongozi kila mtaa. Sasa wapi ambapo chama kinapaswa kujijenga hasa kama kina ndoto za kuchukua dola kwa sanduku la kura ,ni nje ya nchi au ndani ya nchi?
 
sasa wapi ambapo chama kinapaswa kujijenga hasa kama kina ndoto za kuchukua dola kwa sanduku la kura ,ni nje ya nchi au ndani ya nchi??

Wewe unaishi nchi gani? Hujasikia kamanda Lema alivyosema; huenda sasa ni maandalizi ya kuingia msituni baada ya kuona demokrasia haifuatwi. Wameshajikatia tamaa za kisiasa ndio maana walianza kwa kuasisi magwanda.
Kuelekeza nguvu nje ya nchi ni kwa ajili ya kupata misaada kirahisi ya kuunga mkono mapambano.
 
wewe unaishi nchi gani? Hujasikia kamanda lema alivyosema; huenda sasa ni maandalizi ya kuingia msituni baada ya kuona demokrasia haifuatwi. Wameshajikatia tamaa za kisiasa ndio maana walianza kwa kuasisi magwanda.
Kuelekeza nguvu nje ya nchi ni kwa ajili ya kupata misaada kirahisi ya kuunga mkono mapambano.
.
Kupata siraha,mabomu,vifaru vya kivita??? Ili waanzishe m23 tanzania??
 
Naaam mr.able. !a.k.a kibe.. Chichiem najua umesema kitu maana leo tuko pamoja!! Wanahitajika kufungua matawi mengi sana hadi vijijini kuliko nje,pamoja sana we wakwetu sema sabuni ya roho ndo inakupeleka huko uliko..karibu hm
 
kuna kitu ambacho najiuliza sipati jibu labda ni kujitafutia posho za safari za nje au la...labda chadema mtakuja nijibu ingawa najua yatakuwa ni matusi tu.. Nimekuwa nikiona chadema wanakasi kubwa sana kufungua matawi ya chadema nje ya nchi lakini cha kushangaza huku ndani tanzania chadema hakuna ofisi hakuna matawi wala hawana makatibu wa wilaya wala wa kata wala vijiji wala vitongoji....

Mfano katika vijiji vya pande, njinjo,lupingu ,pande na sehemu nyingi sana hata idadi yake huwezi pata hakuna tawi wala kiongozi wa chama cha chadema? Lakini wenzao wa ccm wana matawi na viongozi kila mtaa. Sasa wapi ambapo chama kinapaswa kujijenga hasa kama kina ndoto za kuchukua dola kwa sanduku la kura ,ni nje ya nchi au ndani ya nchi?
wameona ccm wana matawi nje ya nchi nao wameigi bila kukumbuka kuwa ccm tayari ina matawi nchi nzima.kuhusu kuchukua nchi wanaamini ikishindikana kwa kura watachukua kwa maandamano,ikishindikana watachukua kwa kwenda msituni. Kweli wanaadamu tunatofautiana!
 
Mleta mada una akili ndogo kuliko ya Panya buku.

Mahali popote ukiwa na wanachama hai na wakutosha unaweza kufungua tawi au shina.
Sasa wivu wa nini?

Watanzania walioko nje ya nchi wameona nuru na hivyo kujiunga CHADEMA hivyo wakaratibu mpango wa kuwa na tawi huko huko walipo na hivyo wakaarika viongozi wa juu wa chama kuja kuzindua tawi lao.
 
Ni wazi kuwa hao wakaazi wa maeneo/vijiji ulivyovitaja nao wanatambua ugumu wa maisha na umasikini uliowajaa, hivyo basi wanapaswa kuwa na hasira na uchungu wa kuungana na harakati zozote za kupambana na aliyesababisha wao wawe hivyo ambaye ni CCM.

Wao wenyewe kwanza wanapaswa kuonesha nia ya kutaka kujiunga pamoja kupambana na adui ccm, kwa kuanzisha matawi na misingi ya CDM, kama wanaamini ndio chama sahihi kitakachoweza kuongoza harakati za ukombozi wa Taifa lao.
Lakini kama bado wanaamini CCM ndio baba na mama yao, wataendelea kupeperusha bendera za ccm kwenye nyumba zao za tembe, wakisubiria msimu wa kupewa kanga, kofia na pilau.

CHADEMA sidhani kama ililazimisha london wafungue matawi ya chama , bali watanzania wenzetu waishio huko kwa kutambua umuhimu wa wao kushiriki kwenye harakati za kuikomboa nchi yetu kutoka kwa wakoloni weusi ,ccm,waliamua kujiunga pamoja na kuomba kutambuliwa na chama kama tawi.
Vivyo hivyo ninawaomba ndugu zangu wa huko kusini, kama tunatambua umuhimu wa harakati za kupambana na ufisadi,rushwa, umasikini mauaji holela ya raia, unyonyaji wa rasilimali zetu. Kama tunataka kuboreshwa kwa huduma za jamii, usawa katika mgawo wa keki ya taifa, maboresho ya kweli ktk sekta ya kilimo (sio hadithi za kilimo kwanza na powertillers), upatikanaji wa pembejeo za kilimo, soko la uhakika la mazao yetu, malipo stahiki kwa jasho tuvujalo.
Hatupaswi kuisubiri chadema ije ituambie haya, bali tujiunge pamoja, tuhamasishane (kama wenzetu wa huko ulikotaja) na kisha tuombe CHADEMA itutambue kuwa na sisi ni sehemu yao, tunaiamini natunaongeza NGUVU YA UMMA, katika kusukuma mbele harakati za kutafuta mabadiliko ya kweli.

Ninawaomba ndugu zangu popote pale mlipo, tusijiweke pembeni na kusubiri CHAMA-CDM ,kije na kufanya kwa niaba yetu, TUAMUE KUWA SEHEMU YA HARAKATI HIZI PALE PALE TUNAKOISHI ILI HATIMAYE TUISHINDE VITA HII!

PEOPLES...........
 
Kuna kitu ambacho najiuliza sipati jibu labda ni kujitafutia posho za safari za nje au la...labda CHADEMA mtakuja nijibu ingawa najua yatakuwa ni matusi tu.. Nimekuwa nikiona CHADEMA wanakasi kubwa sana kufungua matawi ya CHADEMA nje ya nchi lakini cha kushangaza huku ndani Tanzania CHADEMA hakuna ofisi hakuna matawi wala hawana makatibu wa wilaya wala wa kata wala vijiji wala vitongoji....

Mfano katika vijiji vya pande, njinjo,lupingu ,pande na sehemu nyingi sana hata idadi yake huwezi pata hakuna tawi wala kiongozi wa chama cha CHADEMA? lakini wenzao wa CCM wana matawi na viongozi kila mtaa. Sasa wapi ambapo chama kinapaswa kujijenga hasa kama kina ndoto za kuchukua dola kwa sanduku la kura ,ni nje ya nchi au ndani ya nchi?

KIBE Vuguvugu la mabadiliko linaanza na wewe amasisha vijana kama wewe anzisha tawi mambo yasonge mbele, hii biashara ya kulalamika kwa kijana kama wewe ni ndiyo inarudisha nyuma maendeleo na kuchelewesha ukombozi.

Hata huko UK na USA walioanzisha matawi ni wanachama wishio huko si Mbowe wala Dr. Slaa.
 
Tawi halifunguliwi kila kijiji,linafunguliwa penye wanachama.Efatha!
 
ni wazi kuwa hao wakaazi wa maeneo/vijiji ulivyovitaja nao wanatambua ugumu wa maisha na umasikini uliowajaa, hivyo basi wanapaswa kuwa na hasira na uchungu wa kuungana na harakati zozote za kupambana na aliyesababisha wao wawe hivyo ambaye ni ccm.

Wao wenyewe kwanza wanapaswa kuonesha nia ya kutaka kujiunga pamoja kupambana na adui ccm, kwa kuanzisha matawi na misingi ya cdm, kama wanaamini ndio chama sahihi kitakachoweza kuongoza harakati za ukombozi wa taifa lao.
Lakini kama bado wanaamini ccm ndio baba na mama yao, wataendelea kupeperusha bendera za ccm kwenye nyumba zao za tembe, wakisubiria msimu wa kupewa kanga, kofia na pilau.

Chadema sidhani kama ililazimisha london wafungue matawi ya chama , bali watanzania wenzetu waishio huko kwa kutambua umuhimu wa wao kushiriki kwenye harakati za kuikomboa nchi yetu kutoka kwa wakoloni weusi ,ccm,waliamua kujiunga pamoja na kuomba kutambuliwa na chama kama tawi.
Vivyo hivyo ninawaomba ndugu zangu wa huko kusini, kama tunatambua umuhimu wa harakati za kupambana na ufisadi,rushwa, umasikini mauaji holela ya raia, unyonyaji wa rasilimali zetu. Kama tunataka kuboreshwa kwa huduma za jamii, usawa katika mgawo wa keki ya taifa, maboresho ya kweli ktk sekta ya kilimo (sio hadithi za kilimo kwanza na powertillers), upatikanaji wa pembejeo za kilimo, soko la uhakika la mazao yetu, malipo stahiki kwa jasho tuvujalo.
Hatupaswi kuisubiri chadema ije ituambie haya, bali tujiunge pamoja, tuhamasishane (kama wenzetu wa huko ulikotaja) na kisha tuombe chadema itutambue kuwa na sisi ni sehemu yao, tunaiamini natunaongeza nguvu ya umma, katika kusukuma mbele harakati za kutafuta mabadiliko ya kweli.

Ninawaomba ndugu zangu popote pale mlipo, tusijiweke pembeni na kusubiri chama-cdm ,kije na kufanya kwa niaba yetu, tuamue kuwa sehemu ya harakati hizi pale pale tunakoishi ili hatimaye tuishinde vita hii!

Peoples...........
hakuna faidia ya kufungua matawi nje wakati hata kura hawapigi labda useme wanawasaidi fedha .bajaji ,pikipiki ..mbaya zaidi tayari hiyo CDM london tayari vipande vipande sababu ni huyo slaa... Jengeni chama ndani kama mnataka chukua nchi kwa sanduku la kura labda kwa m23 ya mh.lema
 
Back
Top Bottom