Kwani mahari imeshaliwa? Irudisheni na riba kidogo cz biashara haikufanyika
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nini cha kufanya pale utakapojikuta katika relationship na mtu ambaye umeona hakufai na mahari ameshakulipia?
Wanga wa Babu umeanza lini tena giLESi???? Lakini anyway, kama kijana mwenzio umeona hakufai njoo kwa babu yako nahitaji kuongeza mke wa 6 soon.... :glasses-nerdy:
unajivunjie heshima tu ili akupige chini
cacico usitake nilie, li mtu lilikuwa limeficha makucha, baada ya kutoa mahari sasa linataka nilipe tigo
ulikuwa wapi kuligundua hlo mpaka unalipiwa mahali nyambafu we umepata hawala jingine huko labda linavihela sasa nyie kwa tamaa ndo kabsa hata knyume na maumbile unampa ksa ngawila,kwenda huko kwa mumeo ulshalala nae mara ngapi si mara nyng hyo mahal wakat anatoa ww hukuwepo ulsafri mkoa mwngne acha ujinga nenda kwa mumeo.
kumbe linataka kula tigo lipotezee.
Naogopa dudu
kwa kweli kama ni hivyo sepa tu wangu!! ni mwambie akapate experience kwa dada zake kwanza ndio aje kwako!! kwanini anataka kukuanzishia dhambi ambayo iliteketeza sodoma na gomora!! HAKIKA MUNGU WETU HAPENDI! mfir.w.aji na mfir.a.ji wote jehanam!! MUNGU WETU MWEMA, MWENYE UWINGI WA HURUMA ATUHURUMIE!cacico usitake nilie, li mtu lilikuwa limeficha makucha, baada ya kutoa mahari sasa linataka nilipe tigo
mambo mengine si ya kumwambia mzazi! Utamuua mamako bure, tena uache kabisaaaaaa!nimemwambia mama, eti anaogopa kumwambia baba, nifanyeje?
mambo mengine si ya kumwambia mzazi! Utamuua mamako bure, tena uache kabisaaaaaa!