Kuna chuo elimu ya juu tz chenye hadhi ya chuo kikuu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna chuo elimu ya juu tz chenye hadhi ya chuo kikuu?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by joshua_ok, Oct 15, 2012.

 1. j

  joshua_ok JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 4,557
  Likes Received: 2,679
  Trophy Points: 280
  Salam wadau
  nilitaka kuuliza kama kuna chuocha elimu ya juu chochote humu (zaidi ya 50 kwa sasa 2012) nchini Tz chenye hadhi ya kuitwa CHUO KIKUU? maana nimezungukia MLIMANI, ARDHI, MUHIMBILI, MUSLIM, UDOM ,TUMAINI zote, SAUT, TEKU, ST. JOSEPH nilichoshuhudia ni majengo chakavu chakavu na walimu wapiga miayo tu wakisubiria kama kuna "dili" mtaani wasepe. zaidi ni katika MAKTABA sijaona kitu ukija kwenye INNOVATIONS ndo sifuri (sidhani hata kama tumeshawahi kutoka NOMINATIONS hata moja kwenye NOBEL PEACE PRIZE). Tujipeni pole watanzania
   
 2. Loraa sum's

  Loraa sum's JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 259
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 60
  Kwa hyo ulitaka 2viitaje hvyo vyuo?na km hamna chuo kikuu kwa hyo watu wakasome wap?
   
 3. R

  ROGERSHINE Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  njoo sua wewe aka chuo kikuu cha kweli bongo
   
 4. Davesto

  Davesto JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 60
  wewe ni mwongo na mjinga pia
   
 5. Joste

  Joste Senior Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe kenge kweli. Wasomi wote hapa nchini wamesomea wapi? Acha kujizalilisha bana
   
 6. M

  Mgoda simtwange Senior Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 158
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Jenga chuo chako ili usome kwenye chuo ulichojijengea wewe mwenyewe kama unaona tanzania hakuna chuo kikuu. Au nenda kasome huko unakofikiri kuna vyuo vikuu na kazi ufanye huko huko. Vyuo vyetu vina matatizo lakini kama wewe ni mtanzania huwezi kuvidhalilisha vyuo vyetu kiasi hicho. Kuna vyuo ndani ya tanzania vinatambulika kimataifa na ukisoma vyuo hivyo utakubalika mahali popote duniani. BADILIKA NDUGU
   
 7. K

  Kulya JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Cho sio majengo bwana mdogo, innovations ni wewe hujaona sio kwamba hazipo, maabara, karakana na maktaba zilizosheheni pia zipo! Lastly, shule yako ndogo i suppose.
   
 8. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo vingine kama tumaini ni vya uongo?
   
Loading...