MISTAKE ON TCU GUIDEBOOK:KUANDIKA KOZI YA Bsc in GEOLOGY 3yrs kumbe ni 4yrs

Mb-one

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
882
1,282
jamani sisi waTz tutafanya madudu hadi lini,yaani kwenye tcu guidebook wameandika kozi ni 3yrs kumbe ni 4yrs,kweli waungwana kitu sensitive kama hicho watu wanafanya mistake,kweli hii ni bongo yetu
 
je wewe umechaguliwa huko?? na kama ni ndio ulikua unataka usome miaka 3 afu iweje!! mshkuru mungu ni miaka 4 maana utakua fit ukimaliza hiyo miaka minne...
 
Hawajakosea, Geology zipo mbili, ya miaka 4 engineering geology, na miaka mitatu geology. Acha upuz dogo uwe unauliza kwanza
 
kweli, eng geology 4ys n geology 3yrs!
Soma guidebuk fresh,kuna sehemu zny makosa bt c hyo!
 
toka mwanzo walionyesha madudu kwenye vocha zao zilikua printed 50000/- akati si kweli ila nashukuru makosa mengine ni manufaa kwa wananch labda ndo mikakati ya kaulimbiu ya chama chetu
MAISHA BORA KWA KILA M-TZ
nliitendea haki 20000/- bila hata dought
 
Hawajakosea, Geology zipo mbili, ya miaka 4 engineering geology, na miaka mitatu geology. Acha upuz dogo uwe unauliza kwanza

kaka naona una mtindio wa ubongo samahani lakin ni mawazo yangu tu hayo,mimi nimefanya research ndogo na kuchek the last prospectus inaonyesha ni 4yrs na mtu kaniambia ni 4yrs,sasa upuuzi wangu uko wapi kama sio wewe hujatumia bongo yako vizur kuchunguza
 
kweli, eng geology 4ys n geology 3yrs!
Soma guidebuk fresh,kuna sehemu zny makosa bt c hyo!

kaka nmechek the last prospectus na mtu wa udsm kaniambia ni 4yrs hyo bsc in geology and not eng geology
 
je wewe umechaguliwa huko?? na kama ni ndio ulikua unataka usome miaka 3 afu iweje!! mshkuru mungu ni miaka 4 maana utakua fit ukimaliza hiyo miaka minne...

Totally beside the point.

Mtu kakwambia kuna mistake, wewe unamletea habari za "ulikuwa unataka usome miaka mitatu ili iweje?"

Kwani kakwambia alikuwa anataka asome miaka mitatu?

Kama alitaka kujua ili kujiandaa vilivyo kwa kozi ya miaka husika je?

Comprehension please.
 
Back
Top Bottom