Recent content by johsee

  1. J

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwamba unaitafuta heshima kwa matusi? Anyway ngoja nikupuuze kama uwezo wako wa kureason ndio huu
  2. J

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Joined 2020 unaita watu dogo sio?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hiki kikundi siku kikicheza na Sunderland ni goli kuanzia 4 na kuendelea
  4. J

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Maswali ya kindergarten haya unafikiri kutengeneza timu ni kama kupanga cone. Timu imemaliza nafasi ya 10 msimu uliopita unategemea sajili zisizozidi 3 kwenye first eleven zifanye kuwa title contender
  5. J

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mazoezi ya how to win EUFA bado hamjapata tutorial
  6. J

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Msimu huu wamefunga magoli mangapi ya set pieces? Hilo goli ya kwanza waliloruhusu Arsenal msimu huu limefungwa na back 4 ?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hiyo stalker naona ipo vizuri tatizo huwezi weka favorite channel, kuna favorite link tu sasa kuanza kuchambua channel kwenye group la channel 1000 kwangu naona ni usumbufu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Wakuu website gani naweza pata IPTV player nzuri kwa window PC
  9. J

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kilichonikera tu leo ni kocha kushindwa kufanya game management 4-2 unakomaa kuputua mbele wakati unaweza jilinda kwa kucheza pasi fupi fupi na kumaintain possession Anyway japo tukubali kocha bado yupo kwenye experiment cha kushukuru matokeo yanapatikana
  10. J

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kipindi unaposses 75% ulishawahi wafunga Brighton
  11. J

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wale Bornemouth wangekubali dili la Scott, Enzo tungefanya biashara mapema
  12. J

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Pazia la hekaru
  13. J

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sasa kama hamna mfumo hayo magoli yanafungwa na refa
  14. J

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Tuna viungo watano wanaogombania nafasi mbili Caseido Enzo Lavia Barco Henderson huyo Essugo sijamuweka Sioni kama kuna biashara nyingine labda kama tutauza wawili kati ya hao 6
  15. J

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Una takwimu za msimu uliopita za makosa ya makipa yaliyosababisha magoli
Back
Top Bottom