QUESTIONNAIRE
Dear Participants
I am conducting a survey of imported products in the Tanzanian markets for my Masters thesis at Zhejiang University in China. The questionnaire is a part of my Master thesis, in which I am interested in consumer perceptions on imported products to my native...
Ndugu zangu watanzania Nyerere hakuwa mungu wa Tanzania na si kweli kuwa bila nyerere Taifa la Tanzania lisinge pata uhuru,mie naona kuwa mtu ukiwa msomi Lowassa anafaa kuwa rais wa tz. Rais wa uchina wa kwanza aitwae Maotse Dong aliendesha fitna hadi kumfunga Den shaopin na kuua vijana wake...
Mazee mie sishangai sana sophia banda ku anzisha fujo kwetu. nakumbuka miaka 80 kwa tuliokulia bushi miaka ya ujamaa tulipo kuwa tuki kimbia mchakamchaka asubuhi tuliimba hivi "Nawe banda wa malawi kutuvalia ngozi ya simba na kututishia watanzania hatujali hatujali"wimbo huu hadi leo umenifanya...
Hakuna utajiri hapo dada zangu ni ujinga na ulimbukeni wa mshikaji- kwa alikurupuka kuoa-hajui nini maana ya mke. nyumba 2 na magari 3 magofu tu hayo na magadi chakavu.
Kijana abarikiwe kwani hajui afanyalo, nashangaa sana vijana masikini wa kutupwa ndo mashabiki na waleta fujo,hata uliko anzia uislam wenye nao ni wastaarabu. poor tanzania
Sasa serikali ya CCM imechoka kabisa huezi kuwaforce Madr. kufanya kazi, police wa Tanzania hawana maaana kabisa kwani wanatumiwa na wanasiasa wasiokuwa na akili na ndio maaana police wanaongoza Tanzania kwa kutumia vyeti visivyo vyao kutumia majina ya watu wengine, ndio maana wanatii amri hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.