kwa anayejua online test ya starndard charterd Bank | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa anayejua online test ya starndard charterd Bank

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Blessed, Jun 29, 2012.

 1. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  inafanyikaje kwa yule an nifafahamu?nimepigiwa simu na wao na wametakanifanye hyo test but sijaona link ya kufika mwenye ufahamu anijuze tafadhali!
   
 2. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  nenda kwenye sehemu ya graduate,chagua coperate banking /tanzania ndo itakubali ,interview ya kwanza ni numerical 20 qns per 20 min,ukifaulu unaingia knowledge,then phone interview,oral
  jitahidi unaweza fanikiwa ndugu yangu mm wakati na maliza undergraduate niliishia kati wakanitumia mail kuwa unsuccesfull ,ila washkaji walipata wengine walipelekwa mpaka abroad kufanya training
   
 3. c

  cielo Senior Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mi nilishawah kufanya, bt ckufanikiwa. Fungua website yao then fuata maelekezo kwny careerz
   
 4. JOHNSON

  JOHNSON Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 20, 2008
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi nataka visa card ya hao jamaa
   
 5. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  we ni muhaya??
   
 6. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,470
  Likes Received: 1,211
  Trophy Points: 280
  hata haieleweki
   
Loading...