Asante kwa kunifanya nifikiri. My point is we should (as Africans) avoid descrimination amongst ourselves because of religion. Ni ulimbukeni wa kutupwa.Kwenye red, ni dini gani mkuu? waarabu wako wakristo wengi tu, waislamu wengi tu, freemasons wengi tu, hapa ulikusudia dini ipi?
umechanganyikiwa ! Hujui ukristo ni dini au NGO !?
Mara Yesu mungu, mara mwana wa mungu, mara kafa, mara kafufuka, mara kapigwa, mara mungu ni watatu: yaani mmejichanganya mpaka mmechanganyikiwa !
Kunywa divai hii na kula kate huu ! Divai hii ni damu ya Bwana na mkate huu ni mwili wa Bwana.
Akala mkate ule kuwa ni ishara ya kula mwili wa Bwana na akanywa ile divai kuwa ishara ya damu ya Bwana: kisha akasema; Aameeen
Nafikir sio jambo baya kujua idadi na sio kujua idadi tu bali ni kuweka takwimu za nchi sawa ,ili kujua majority ya idadi ya wenye dini na hata wale wasio na dini. Tunaelewa kuwa serikali yetu ni ya kipagani lakini utaona imeikataa OIC na kuikubali Vatican ,ni kosa la kikatiba nchi nyingi tu hata kwenye passport zao unaweza kuona sehemu inayokutaka kubainisha dini yako.NA KWA NINI JAMBO HILI LIKATALIWE KUNAOGOPWA NINI ? au ni sawa kama vile CCM wanacyokataa kuweka tume huru ya Uchaguzi inayoshirikisha wadau wote ??
jumuiya na taasisi za kiislamu imepanga kwenda mahakamani kuzuia zoezi la sensa na kupinga kauli iliyotolewa na sheikh mkuu wa baraza la waislamu (bakwata), mufti issa shaban simba, kwamba waislamu wamekubali kuhesabiwa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini dar es salaam jana, katibu mkuu wa jumuiya hizo, sheikh ponda issa ponda, alisema kauli ya mufti simba, inaashiria kwamba bakwata limekiuka makubaliano yaliyofikiwa mjini dodoma na jumuiya zote za waumini wa dini hiyo.
Alisema kauli hiyo haitakuwa na athari kubwa kwa msimamo wa waislamu wengi ambao hawatashiriki zoezi la sensa.
"waislamu tumepanga tarehe hiyo ya sensa kufanya maandamano ya amani nchi nzima kwani sensa inayokusudiwa haitakuwa na matokeo sahihi kwakuwa asilimia 80 ya waislamu ambao ni zaidi ya nusu ya watanzania hawatahesabiwa," alisema shekh ponda.
Hivi karibuni mufti simba, alitoa msimamo wa bakwata, akiwataka waislamu wote nchini kushiriki sensa ya watu na makazi itakayofanyika agosti 26, mwaka huu.
Chanzo: Nipashe
huyu sheikh amezipata wapi hizo takwimu kwamba 80% ya waislamu tz ni zaidi ya nusu ya watanzania wote? Halafu baada ya sensa ya dini ikajulikana waumini wa dini fulani ndio majority italisaidiaje taifa? Ninaamini kuwa wapo waislamu wengi tanzania wasioyumbishwa na kauli na misimamo ya viongozi wao, lakini viongozi wa aina hii wana mchango gani kwenye ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla?
Hivi cheo cha usheikh amepewa na nani? Sheikh ponda ameishia darasa la ngapi?
Hivi huyu ni sheikh au muuni?
Kama unadhani ile ya juu zuu itakusaidia kutatua matatizo basi hata wanao wapeleke wakasome ila mkifeli msiilaumu NECTA! Babu yangu kwa wakati wake alikuwa na BSc. ya Kiafrica ambayo kwasasa haiwezi kutatua matatizo tunayokuwa nayo! Hafu huku ndo kuchanganya habari!!!! Asante kwa kusoma post yangu!!!!Yaani umwombe Mungu Ufe kwa kukosa elimu,Waafrika bwana wakishapata elimu ya kuhamisha kutoka kwa wazungu tabu tupu..we babu yako alikuwa na degree ngapi...?
Soma hapa 'Mungu' anaomba chakula:
" Basi walipokuwa hawajaamini kwa furaha, huku, wakistaajabu, aliwaambia, mna chakula chochote hapa ?? Wakampa kipande cha samaki wa kuokwa, akakitwaa akala mbele yao" Luka: 24: 41-43.
Ni waoga wa haki ! Kwani wamezoe kuchanganya haki na batili !
mimi hapo ndipo ninapo shangaa mkuu! .. wanadai tujihesabu wenyewe! haya shekh kaja na hizo takwimu wanahoji kazitoa wapi ...! ... hawa watu mimi siwaelewi kabisa ... kuongezwa kwa swali moja tu "je wewe ni dini gani..?! wanaleta mlolongo mrefuu sijui watapungukiwa na nini..?
Ungetupiamo basi hiyo aya ! Kwani Mungu anahisi njaa ?Mkuu unajichoresha. Ngoja nikueleweshe. Haya aliyasema baada ya kuona wanafunzi wake wana wasiwasi kama ndiye halisi. Hivo alikula mbele yao ili waamini kuwa si mzuka ila ni yeye halisi.
Kama unadhani ile ya juu zuu itakusaidia kutatua matatizo basi hata wanao wapeleke wakasome ila mkifeli msiilaumu NECTA! Babu yangu kwa wakati wake alikuwa na BSc. ya Kiafrica ambayo kwasasa haiwezi kutatua matatizo tunayokuwa nayo! Hafu huku ndo kuchanganya habari!!!! Asante kwa kusoma post yangu!!!!
Zanzibar wameanza na uamsho hautaishia huko. Hiki ni kidonda ndugu kinakuwa kama kimepona kinaibuka tena kunahitajika mnatibabu mazuri kukifanya kisirudi for ages (Tunahitaji Serikali Makini sana kudeal na vitu kama uamsho). Dini zisizojieneza kwa amani huwa zinatumia nguvu kuenezwa. Ikiruhusiwa kutumia dini na wakigundua ni wengi hata kwa asilimia moja then baada ya sensa madai yatageuka kuwa yafuatayo na wakiwa wachache watasema wamechakachuliwa
(1) chuo kikuu idadi yao iongezwe
(2) wafanyakazi wa serikali na makampuni binafsi idadi iwe ratio sawa as per sensa
(3) Mawaziri uwiano uwe sawa na wa sensa
(4) vazi la taifa liwe kanzu na kibandiko
(5) misikiti makazini
(6) Ijumaa school iingie katika mtaala
Ongezeeni hapo
umechemka !? Nabii Suleiman ana Kitabu chake, kinaitwa Wimbo ulio bora ! Bible ni ya nani !?Sikushangai mkuu, inawezekana haya unayasema kwa maelekezo ya majini maana ni ndugu zenu. Surat Al-Tawba 9:23.
Jumuiya na Taasisi za Kiislamu imepanga kwenda mahakamani kuzuia zoezi la sensa na kupinga kauli iliyotolewa na Sheikh Mkuu wa Baraza la Waislamu (Bakwata), Mufti Issa Shaban Simba, kwamba Waislamu wamekubali kuhesabiwa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa jumuiya hizo, Sheikh Ponda Issa Ponda, alisema kauli ya Mufti Simba, inaashiria kwamba Bakwata limekiuka makubaliano yaliyofikiwa mjini Dodoma na jumuiya zote za waumini wa dini hiyo.
Alisema kauli hiyo haitakuwa na athari kubwa kwa msimamo wa Waislamu wengi ambao hawatashiriki zoezi la sensa.
"Waislamu tumepanga tarehe hiyo ya sensa kufanya maandamano ya amani nchi nzima kwani sensa inayokusudiwa haitakuwa na matokeo sahihi kwakuwa asilimia 80 ya Waislamu ambao ni zaidi ya nusu ya Watanzania hawatahesabiwa," alisema Shekh Ponda.
Hivi karibuni Mufti Simba, alitoa msimamo wa Bakwata, akiwataka Waislamu wote nchini kushiriki Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 26, mwaka huu.
Chanzo: Nipashe
Huyu Sheikh amezipata wapi hizo takwimu kwamba 80% ya Waislamu TZ ni zaidi ya nusu ya Watanzania wote? Halafu baada ya Sensa ya dini ikajulikana waumini wa dini fulani ndio majority italisaidiaje Taifa? Ninaamini kuwa wapo waislamu wengi Tanzania wasioyumbishwa na kauli na misimamo ya viongozi wao, lakini viongozi wa aina hii wana mchango gani kwenye ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla?