Naam Lowassa ndiye Rais wa 2015. Pamoja na Makundi uchwara Ndani ya CCM yakiendeshwa na Nape na mabwana zake. Bado LOWASSA ndiyo next President.lowasa anayo kura yangu.
Lowasa asipokuwa Rais 2015 mniue - Askofu (Gazeti la Nyakati,10th Julai). Ngoma imeanza!
Lazima atakuwa ni mmoja wa hawa maaskofu wa kibongoflavor ambao wanatumia something kutoka Nigeria.Lowasa asipokuwa Rais 2015 mniue - Askofu (Gazeti la Nyakati,10th Julai). Ngoma imeanza!
Naam Lowassa ndiye Rais wa 2015. Pamoja na Makundi uchwara Ndani ya CCM yakiendeshwa na Nape na mabwana zake. Bado LOWASSA ndiyo next President.
Mungu hayuko pamoja na huyo askofu...
lowassa ntampa kura yangu haina ubishi
by daway who is nyerere? Si mtu kama mim wewe vipi sio kila aliosema yeye ni sheria mengine aliongea kwa interest zake binafsi.na chuki zake za kizanaki hasa kwa mtu aliyeona atamfunika nani asiyemjua huyu dikteta na mroho wa madaraka
Atauwawa kweli,namuhurumia sana, maana nijuwavyo Rais wa 2015 atachaguliwa na Mungu,hata kikwete hamjuwi!