Recent content by jidejessy

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kuwa na PC chuoni kwa masomo ya afya

    Mmmh smart phone itakuwa idia kwenye kusoma tu. How about kuandika Asaiment na mengineyo?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ni aibu Diamond kukosa Milioni tano ya Matunzo ya Mtoto. Aache kuzaa tu

    Ndiyo milion 5.ni sawa kutokana na kipato chake. Si dangote bana. Na Abdul anahaki yakuishi kama wakina tiffa bana.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Natamani kupenda tena

    Pole sana. Hata mie natamani sana nipate m wanaume wa kunipenda kweli.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Namsubiri Maalim Seif aje ofisini nimpangie majukumu yake

    Kwani hakuna stesheni nyingine?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Jengo la Yanga kupigwa mnada kutokana na deni la shilingi ml 300, Mkwasa akiri

    Walahi yote haya kasababisha Bashite!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

    Tupe ushahidi hao watu waliharibiwa maisha na yeye! Tunaenda na fact.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Umaarufu wa petit man wakuache

    Nyie pigine majungu mwenzetu anatusua maisha
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wadada ni sababu zipi zinawachelewesha kuolewa pamoja na urembo wenu?

    Ndoa ni mpango wa Mungu. Si yakufuata mkumbo kama nyumbu.
  9. J

    JamiiForums Tanzania SUA inakataa kutembelewa na Rais kwa hofu ya kutumbuliwa?

    Mmh we nawe kuna chuo kwani hakipo? ?na kama hakipo Ujue hawajapita
  10. J

    JamiiForums Tanzania Unaweza kukaa muda gani bila kuishika simu?

    Hahahaha kama mimi
  11. J

    JamiiForums Tanzania Habari. Wapenzi wa tamthililia ya star tv .

    Naomba kuuliza Marudio ya tamthililia ya star tv ya brigde of love ni lini na saa ngapi?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa bongo fleva wanapaswa kujifunza kwa Christian Bella jinsi ya kuimba live(Mubashara)

    Nakushauri uwqsikilize live siyo kwenye tv. Nenda kwenye show ya lady Jay dee ukaone jinsi maana ya live band. Even king kiba pia
  13. J

    JamiiForums Tanzania Celebrities wa kike Bongo wanakosa nini ambacho Zari anacho?

    Hahahaha jinsi gani watz tulinavyojua kuahobokea wageni tu. Huyo zari anamapicha kibao ya ngono tena cyo ya nchi hii
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kijuso vs Aje remix ipi video kali ?

    Usimfanishe aje na vitu vya kijinga wewe
Back
Top Bottom