Kuna umuhimu wa kuwa na PC chuoni kwa masomo ya afya

Kuna umuhimu wa kuwa na PC kwa masomo chuoni hasa koz za afya maana wengine hali zetu ngumu.

Ni muhimu..Utasomea,utafanyia assignments ambazo zinahitaji kuwa typed ,utaangalizia tutorials, utaangalizia muvi wakati wa mapumziko,utaandikia research reports and other reports during your study

Chukua ile laki mbili ya BS ongezea na laki na nusu kutoka kwenye meals and accommodation ukanunue laptop nzuri tu pale mtaa wa uhuru used but refurbished

Alternatively unaweza kutunza laki mbili na nusu hadi tatu kila boom kwa maboom mawili then ukanunue machine

Trust me life la chuo bila mashine haliendi unless kama uko KCMC naskia hupewa tablets
 
Mkuu afya kuna vitabu vingi sana vikubwa uwezi nunua hard copy maana ni bei, kimoja au viwili ni bei sawa na pc na pia utahitaji pc au smartphone kujisomea, pamoja na matumizi ze heby aliyosema, labda ikute unaenda kusome certificate la sivyo mwakani mda kama huu utaleta uzi mwingne wakuomba ushauri baada ya kudisco
 
Back
Top Bottom