Jackline Aloyce
Senior Member
- Aug 31, 2016
- 111
- 96
Ucjalii utapata tyu utakaye mpenda muhimu ni kusubir muda ufke utapata tyuu ucwe na haraka kingine msirikishe Mungu piaMoyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.