Hahahahamakonda na sirro waanza kujificha kukimbia kunyea debe. yule kondakta akiwekwa kwenye mahabusu wanaeza wakala mswambanda
Hahahahamakonda na sirro waanza kujificha kukimbia kunyea debe. yule kondakta akiwekwa kwenye mahabusu wanaeza wakala mswambanda
Wamekusikia mzee tupatupa..... Mzee wa daslamu!Fanya hivi: pokea nyaraka za kimahakama zinazobeba malalamiko ya Mbowe kwenye kesi yake ya kikatiba. Halafu,tokeza mahakamani na ushiriki kwenye kesi yako.
Kaoneshe,kimahakama na kisheria,jinsi ulivyo na nguvu ya kuwatangaza wahalifu,kuwaita polisi na kuwasweka wananchi na viongozi rumande. Kalinde vifungu vinavyopingwa kwakuwa ndivyo vinavyokupa nguvu uliyonayo
Nimeambiwa kuwa leo Mbowe anatamba peke yake Mahakama Kuu. Wewe Makonda,Sirro na Wambura hampo. Kwa upande wa Walalamikiwa wote,yupo Mwanasheria Mkuu tu.
Hakuna haja ya kukimbia,mnapaswa kukimbilia.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Tumesema hayaguswi had mtu apatwe na ushahidiMkuu tujuze juu ya sakata la hayo majina ili tupate pa kuanzia
Hata we ni kijana mwenzako pia unaweza kua Wa kwanzaHahahaha cdm bana. Mpaka mnatia Huruma. Kwa sasa JD zetu ni kuamkia mahakamani. No operation again.
Kwa sasa mnasahau hata kuhash tag kijana mwenzetu ambaye hajulikani aliko. Au mlishajua? Maana mko kimya kabisa.
Mzee Tupa Tupa umeonyesha hekima ya utu uzima wako asanteFanya hivi: pokea nyaraka za kimahakama zinazobeba malalamiko ya Mbowe kwenye kesi yake ya kikatiba. Halafu,tokeza mahakamani na ushiriki kwenye kesi yako.
Kaoneshe,kimahakama na kisheria,jinsi ulivyo na nguvu ya kuwatangaza wahalifu,kuwaita polisi na kuwasweka wananchi na viongozi rumande. Kalinde vifungu vinavyopingwa kwakuwa ndivyo vinavyokupa nguvu uliyonayo
Nimeambiwa kuwa leo Mbowe anatamba peke yake Mahakama Kuu. Wewe Makonda,Sirro na Wambura hampo. Kwa upande wa Walalamikiwa wote,yupo Mwanasheria Mkuu tu.
Hakuna haja ya kukimbia,mnapaswa kukimbilia.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Kwa nin wenyeUkifuatilia comment humu unajua kabisa tuna taifa la wajinga
Labda anahofia ataambiwa kwa majina ya PAUL na DAVID anaapa kwa lipi? Hatoulizwa vyeti vya secondary,aende tu
Kama wao wanao sema tii sheria bila shuruti wana shindwa kuwa mfano basi hawafai kuwa viongozi Mh. Rais anatakiwa kuona hilo na kuwa adhibu kwa kuidharau mahakama.Hii indio inaitwa tii sheria bila shuruti.
Inabidi watii sheria wanayoisimamia bila hivyo wanatutia shaka sisi wanaotusimamia kutii sheria bila shuruti.
Sijabisha kama anaweza kushtakiwa mi nimebisha kuwa eti atakaa mahabusu kama washtakiwa wengineKwani yeye ni Nani juu ya sheria??
Wanaona aibu kwenda mahakamani......inabidi wajifiche tu. Pia nashauri (if possible) wapimwe if they are well mentally. Who knows?
Inatia ukakasi wao wanasisitiza watu watii utawala wa sheria lakini wao wanakuwa wakwanza kukaidi hizo sheria. Hii ndiyo tatizo ya damb ass leaders wanaodhani wako superior kumbe superiority yao wamejenga kwenye misingi ya inferiority complex.
Amna aliyejuu ya sheriaHivi siro anaweza kuwekwa mahabusu kweli mbona tunadanganyana hapa
Unasemaje amekimbiwa wakati kulikuwa na mawakili kuwa wakilisha wahusika?Fanya hivi: pokea nyaraka za kimahakama zinazobeba malalamiko ya Mbowe kwenye kesi yake ya kikatiba. Halafu,tokeza mahakamani na ushiriki kwenye kesi yako.