Recent content by JAMHURI

  1. JAMHURI

    Red Cross Tanzania tawi la Kiteto

    Katika kile kinachodaiwa kuwa ndicho kinachotakiwa na Serikali kufanyika, Chama Cha Tanzania Red Cross tawi la Kiteto, kimewafikia wananchi wilayani humo ambao ni walengwa, vijiji vya Ndaleta, Olpopong, Ndedo, Makame na kuwajengea uwezo wa kutambua fursa zilizowazunguka, kuzitumia na kuzilinda.
  2. JAMHURI

    RC Mnyeti hongereni Kiteto kupata hati safi

    Kwa miaka minne mfulululizo 2019 wilaya ya Kiteto mkoani Manyara imetajwa kupata hati safi, hili limemfurahisha Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe Alexander Mnyeti kusema linafanya apate usingizi Katika hatua hiyo Mnyeti amesema hatua hiyo inaashiria kuwa kazi inayofanywa na watumishi wa Serikali ni...
  3. JAMHURI

    Same yapatiwa vifaa vya kujikinga na COVID 19

    Mbunge wa Jimbo la Same Magharibi Mh. David Mathayo ametoa vifaa vya kunawia mikono katika maeneo yenye watu wengi ili kupunguza maambukizi ya virusi vya corona kwa wananchi Wilayani Same. [emoji1428]Akipokea vifaa hivyo DC Same amewataka wananchi kufuata maelekezo ya serikali juu ya kujikinga...
  4. JAMHURI

    DED Kiteto kufunga kamera hospitali ya wilaya

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kiteto, Tamimu Kambona, amedhamiria kufunga kamera maalumu maeneo ya hospitali ya wilaya ya Kiteto ili kudhibiti mapato yake ambayo yanayoendelea kupotea (Chanzo kikao cha Bodi ya Afya) Kwa kuhujumiwa na watumishi wasio waadilifu. Sent using...
  5. JAMHURI

    Madiwani Kiteto wapitisha rasimu ya bajeti ya bil. 25, kwa mwaka 2020/2021

    Baraza la madiwani wa Halmashauri ya Kiteto mkoani Manyara, limepitisha rasimu ya bajeti ya bil 25,197,685,726.75 kwa mwaka 2020/2021. Maeneo ya vipaumbele ni kuboresha ukusanyaji wa mapato, kutenga 10% za vijana akinamama na walemavu, kuongeza uzalishaji wa mazao ya chakula na mifugo...
  6. JAMHURI

    09 Dec, 2019: Maadhimisho ya siku ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

    Msamaha wa Rais JPM kwà wafungwa, Kiteto waachiwa 21, wamshukuru Rais, waahidi kuwa watu wema DC Kiteto awataka wawe waadilifu akisema ndani ya miaka 4 Kiteto ni shwari wasiwe chanzo cha uvunjifu wa Àmani Sent using Jamii Forums mobile app
  7. JAMHURI

    Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

    Katika kikao cha ushauri cha mkoa wa Manyara RCC, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti, aliagiza pasiwepo na vyama vya wachaga na makabila mengine ambavyo havitokani na makabila asili ya mkoa huo wa Manyara. Hatua hiyo imetokana na madai ya kuwepo kwa dalili za ukabila unaofanyika mkoani...
  8. JAMHURI

    Shirika la Kinnapa lapata bodi mpya 2019-2023

    Kinnapa ni Shirika lisilo la Kiserikali ambalo makao makuu yake yako Wilaya Kiteto mkoani Manyara. Shirika linafanya kazi ya ushawishi na utetezi, na pia linachangia upatikanaji wa huduma za jamii kama vile maji, elimu, matumizi bora ya ardhi nk Shirika linapata viongozi wake kila baada ya...
  9. JAMHURI

    Serikali yapokea gawio la Trilioni 1.005 kutoka mashirika 79

    Hafla ilifanyikia Ikulu ya Chamwino leo tarehe 24/11/2019. Mhe Rais Daktari John Pombe Magufuli akiwa na kamati ya Uwekezaji mitaji ya Umma, (PIC) Inayosimamia mashirika na wakala wa serikali 266. Leo mashirika 79 yametoa gawio na Michango ya Trilioni 1.005 kwa Serikali kupitia kwa Rais Dr...
  10. JAMHURI

    Mauaji Kiteto yanawakera wananchi na viongozi

    Kwa miaka kadhaa mauaji Kiteto yalianza kusahaulia, awali watu waliuana, ukiuliza sababu ya msingi ni kugombea ardhi. Baada ya kuingia utawala ya JPM mabadiliko makubwa yalifanyika kisha wananchi waliweza kuishi salama. Sasa jinamizi kama alivyosema Mkuu wa Wilaya ya Kiteto TIMAINI MAGESSA...
  11. JAMHURI

    DED Kiteto akaribisha Jatu kwa mikono miwili

    Akiwa kwenye kikao cha baraza la madiwani, Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Kiteto, Tamimu Kambona, alisema Kampuni ya Jatu imepiga hodi Kiteto Amesema pamoja na mambo mengine inataka kufanya uwekezaji wa thamani ya bill 7.5 katika kilimo cha umwagiliaji Pale wanavyodai watakuwa...
  12. JAMHURI

    Mbunge Kiteto alia na mfuko wa jimbo

    Huwa najiuliza kwa sauti, hivi mfuko wa Jimbo nani anakuwa nao, wanapotaka ufanye kazi, nani anasema nini ili wananchi waweze kujua kuwa wameungwa mkono miradi yao na mfuko wa jimbo? Maswali haya yatabaki kama yalivyo ila sasa nisemee kijisehemu tu hapa, kumbe unapoutumika visivyo, hatua...
  13. JAMHURI

    Kiteto: Mkuu wa Kituo cha Polisi aeleza sababu 3 za migogoro ya ardhi Kiteto

    MKUU wa Kituo cha Polisi Kiteto, Patrick Kimaro (Sabasita) ametaja sababu 3 migogoro ya ardhi Kiteto kuendelea kushamiri 1. Eneo moja la ardhi kugawanywa kwa zaidi ya mtu mmoja 2. Baadhi ya viongozi wa Serikali za vijiji kutoyaishi maamuzi ya viongozi walio maliza muda wao, kubadilisha mipango...
  14. JAMHURI

    Jukwaa la wakulima, wafugaji Kiteto laanzishwa

    Baada ya msuguano wa muda mrefu wa wakulima na wafugaji wilayani Kiteto Mkoani Manyara, kugombea ardhi kwaajili ya shughuli za kilimo wameamua kuanzisha jukwaa la wakulima na wafugaji. Jukwaa hili litatumika kama chombo kitakachopunguza migogoro hiyo kwa kutumia uzoefu wa majukwaa mengine hapa...
  15. JAMHURI

    Kiteto District Commissioner, Hon. Tumaini Magesa launched Interactive Radio Programs

    The Kiteto District Commissioner, Hon. Tumaini Magesa launched Interactive Radio Programs that focus on the delivery of Climate & Weather Information to farmers and pastoralists in Kiteto district, Manyara region in Tanzania. The planning and design of the Interactive Radio Programs has been...
Back
Top Bottom