DED Kiteto akaribisha Jatu kwa mikono miwili

JAMHURI

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
449
60
Akiwa kwenye kikao cha baraza la madiwani, Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Kiteto, Tamimu Kambona, alisema Kampuni ya Jatu imepiga hodi Kiteto

Amesema pamoja na mambo mengine inataka kufanya uwekezaji wa thamani ya bill 7.5 katika kilimo cha umwagiliaji

Pale wanavyodai watakuwa na misimu mitatu ya mazao, sawa kama hivyo ndio, Kiteto ya leo muda ukifika itakuwa Kiteto iliyopaa kwa maendeleo

Kikubwa hapa ni Yale malengo yaliyopangwa yatimie, najua kupanga ni jambo moja kutekeleza ni jambo lingine, sasa niwaombee Jatu waweze kutimiza ndoto zao kwa manufaa ya Taifa hili
 
Back
Top Bottom