JAMHURI
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 449
- 60
Mbunge wa Jimbo la Same Magharibi Mh. David Mathayo ametoa vifaa vya kunawia mikono katika maeneo yenye watu wengi ili kupunguza maambukizi ya virusi vya corona kwa wananchi Wilayani Same.
[emoji1428]Akipokea vifaa hivyo DC Same amewataka wananchi kufuata maelekezo ya serikali juu ya kujikinga na kuvitumia vifaa hivyo kwa usahihi.
[emoji1428]Amempongeza Mbunge huyo kwa kujali afya za wananchi wake na wadau wengine waliochangia; pia amewaomba wadau wengine kuchangia kwani bado kuna mahitaji.
[emoji1428]"Mimi nina kata 34 katika Wilaya. Hivyo nitagawa vifaa hivi katika kata zote 34 bila kujali jimbo kwani wote wanahitaji kujikinga" Alisema DC huyo.
[emoji1428]Naye Mkt. Wa CCM Wilaya Ndugu Isaya Mngulu aliwataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari, kujikinga na COVID 19.
" *Same is not same* "
Sent using Jamii Forums mobile app