Red Cross Tanzania tawi la Kiteto

Red Cross Tanzania tawi la Kiteto

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Katika kile kinachodaiwa kuwa ndicho kinachotakiwa na Serikali kufanyika, Chama Cha Tanzania Red Cross tawi la Kiteto, kimewafikia wananchi wilayani humo ambao ni walengwa, vijiji vya Ndaleta, Olpopong, Ndedo, Makame na kuwajengea uwezo wa kutambua fursa zilizowazunguka, kuzitumia na kuzilinda.

IMG_1511.JPG
IMG_1564.JPG
IMG_1530.JPG
 
Hamtumiki kisiasa nyie? Maana ndio mwaka wa uchaguzi huu
 
Back
Top Bottom