RC Mnyeti hongereni Kiteto kupata hati safi

JAMHURI

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
449
60
Kwa miaka minne mfulululizo 2019 wilaya ya Kiteto mkoani Manyara imetajwa kupata hati safi, hili limemfurahisha Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe Alexander Mnyeti kusema linafanya apate usingizi

Katika hatua hiyo Mnyeti amesema hatua hiyo inaashiria kuwa kazi inayofanywa na watumishi wa Serikali ni njema inaridhisha

Mbali na pongezi hizo amemtaka mkurugenzi wa halmashauri kuendelea kutenga fedha 10% kwa ajili ya vijana wakinamama na walemavu ambazo ni takwa la kisheria

IMG_7ed9e9.jpg
 
Back
Top Bottom