DED Kiteto kufunga kamera hospitali ya wilaya

DED Kiteto kufunga kamera hospitali ya wilaya

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kiteto, Tamimu Kambona, amedhamiria kufunga kamera maalumu maeneo ya hospitali ya wilaya ya Kiteto ili kudhibiti mapato yake ambayo yanayoendelea kupotea (Chanzo kikao cha Bodi ya Afya)

Kwa kuhujumiwa na watumishi wasio waadilifu.

IMG_20200129_102212.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilifikiri aone wagonjwa wanavyohudumiwa. Kumbe mapato !sijajua hapo kipaumbele ni nini!
 
Mimi nilifikiri aone wagonjwa wanavyohudumiwa. Kumbe mapato !sijajua hapo kipaumbele ni nini!
Mwenzangu watatuua kwa presha, Sasa badala ya kuangalia Kama wagonjwa wanahudumiwa vizuri manesi wanafika kazini kwa wakati,

Kwahiyo wagonjwa tumekuwa vyanzo vya mapato? Manina wallah
 
Back
Top Bottom