Serikali yapokea gawio la Trilioni 1.005 kutoka mashirika 79

JAMHURI

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
449
60
Hafla ilifanyikia Ikulu ya Chamwino leo tarehe 24/11/2019.

Mhe Rais Daktari John Pombe Magufuli akiwa na kamati ya Uwekezaji mitaji ya Umma, (PIC) Inayosimamia mashirika na wakala wa serikali 266.

Leo mashirika 79 yametoa gawio na Michango ya Trilioni 1.005 kwa Serikali kupitia kwa Rais Dr. Magufuli. Mashirika mengine 187 yanayotengeneza hasara yamepewa siku 60 kujitathmini.

Imeelezwa kama wakiona hawawezi kuendana na matakwa hayo waanze kuachia ngazi wenyewe.
 
Hafla ilifanyikia Ikulu ya Chamwino leo tarehe 24/11/2019

Mhe Rais Daktari John Pombe Magufuli akiwa na kamati ya Uwekezaji mitaji ya Umma, (PIC) Inayosimamia mashirika na wakala wa serikali 266.

Leo mashirika 79 yametoa gawio na Michango ya Trilioni 1.005 kwa Serikali kupitia kwa Rais Dr. JPM. Mashirika mengine 187 yanayotengeneza hasara yamepewa siku 60 kujitathmini.

Imeelezwa kama wakiona hawawezi kuendana na matakwa hayo waanze kuachia ngazi wenyewe
Serikali yapokea gawio toka mashirika 79 la Trilioni 1.005


Kwa nia njema tu ...kichwa cha habari kingesomeka
Serikali yapokea gawio la trilioni 1.005 toka mashirika 79
 
Back
Top Bottom