Recent content by Ikeli Nagiva

  1. Ikeli Nagiva

    Mtaji wa masikini, Nguvu zake mwenyewe

    Life isn't fair at all :angry:
  2. Ikeli Nagiva

    Pamoja na yote: Hivi kweli mafuta yakiwapo ziwa Nyasa/Malawi visima vya mafuta vichimbwe?

    Tathmini ya Athari za Kimazingira (Environment Impact Assessment) ndiyo itakayotoa ufafanuzi wa kina kufanya uamuzi wa ama kuchimba au kutokuchimba mafuta kutoka ziwa Nyasa, kama yapo.
  3. Ikeli Nagiva

    Barrick Gold kuuzwa...

    China National Gold, the state-owned miner, is in talks to buy Barrick Gold’s stake in London-listed African Barrick, in a move that could lead to a full takeover and underscores the interest of Chinese miners in acquiring international assets. Canada’s Barrick confirmed on Thursday that it was...
  4. Ikeli Nagiva

    Kila nimpendae yuko kwenye relationship!!!!!

    Wewe, the Boss na Ndibalema ndio mmesema ukweli kabisa.
  5. Ikeli Nagiva

    Masikini CHADEMA- Kwishnei

    Aisee, Mzalendo wewe ni K ya ukweli.
  6. Ikeli Nagiva

    Je haya MADISH ya "tv'' ni analog au digital ?

    Serikali wanampango wa kuongeza wigo wa kodi kupitia ving'amuzi. Si vibaya lakini inaonekana kama hawajajipanga. Sasa watu itabidi wanunue ving'amuzi zaidi ya kimoja ili kuweza kuangalia chaneli zote za ndani. Hizi zote ni gharama zinazoweza kuepukwa kama wangekuwa wamepangilia vizuri.
  7. Ikeli Nagiva

    Nisaidieni USB Flash Disk Haitambuliwi

    Tumia Touchmate au Transcend.
  8. Ikeli Nagiva

    Precision Air mnajiharibia, huduma zenu mbovu!

    Kaka nashukuru kwa taarifa. Nilikuwa nimewahama nikataka nitoke nao kesho lakini kama mambo yao ndiyo yale yale ya siku zote bora nibakie 540.
  9. Ikeli Nagiva

    Nisaidieni USB Flash Disk Haitambuliwi

    Itakuwa una flash aina ya KINGSTON DataTraveler 8GB zile ambazo wajanja wanauza mtaani. Kwa ufupi ni kwamba umeshapigwa bao.
  10. Ikeli Nagiva

    hizi fomu mpya za kujaza benki

    CRDB mbona wana nafuu. NBC ni unoko mtupu, ATM access ziko blocked mpaka uwe umeupdate account yako. Kibaya zaidi hawajali uko wapi kwa sasa, ukitaka wakufungulie inakubidi ukakamilishe taratibu zao tena kwa kurudi kule ulikofungulia akaunti. Taratibu zao ni ngumu sana kulinganisha na benki...
  11. Ikeli Nagiva

    Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    Una tatizo la kuangalia sana porn. Mbona 5.5 inatosha kukupa sizeable thrust bro. Halafu hiyo size ndiyo average kwa wanaume wengi tu. Kama ingekuwa 4 au less hapo ungekuwa sawa kwa sababu with that size huwezi kupata thrust yaani inabidi unase kama kupe huku unasikilizia before you go blast:lol:
  12. Ikeli Nagiva

    Maandamano makubwa Songea!

    التمزق لجميع الذين فقدوا حياتهم القتال من أج&#1604...
  13. Ikeli Nagiva

    mkopo wa BAYPORT mnauonaje?

    Walimu? Basi itakuwa pesa yao inatoka fasta fasta na kwa masharti nafuu. Kwa walio wengi huangalia tu shida yao ya sasa kwa mfano kununua baisikeli, cherehani, bodaboda, bajaj na kadhalika bila kufanya tathmini kujua jinsi gani wamejipanga kulipia mkopo na riba.
  14. Ikeli Nagiva

    Natafuta fild

    Nenda TRA Long Room utakutana na players wengi kwenye hiyo field wanaweza kukusaidia.
  15. Ikeli Nagiva

    nataka talaka

    Haitakusaidia, kama huna ushahidi wa uhakika na bado wampenda basi endelea na maisha yako ya kawaida.
Back
Top Bottom