Masikini CHADEMA- Kwishnei

Hakuna kitu kama bajet mbadala. Kuna maoni ya kambi ya upnzani. Uko dhaifu
Wachovu ninyi.
PEngine maana ya udhaifu ibadilike. Bungeni pamoja na matusi yote mmeshabwagwa.
Woderboy mwenye 'akili' kuwapiteni nyote hata maoni yake katoa fuongo.
The difference whether maoni au bajeti mbadala you guys are quacks, semi literate quasi politicians.
Uchovu wenu ni full kujiachia.
 
Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..

TAFADHALI ANGALIENI HUYU JAMAA NI KAANZA LEO TUU NA NADHANI AMEINGIA KUWAWASHA MOTO NA KUONDOA
HEKIMA HUMU NDANI YA JAMII FORUM....

Join Date : 22nd June 2012
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given0

Kajiunga Leo...
Sasa Kama Bajeti Imepita Sawa lakini kuna ukweli kuwa hakuna PESA!!!
 
Tulishasema CDM ni genge la wafanyabiashara wasiojua hata kulipa kodi na jinsi inavyokusanywa.
Nani kawapa leseni ya kufanya biashara?
Ni wajibu wa nani kukusanya kodi?
Mnakula kodi zetu za bure tu Bungeni.
Kodi zenu indeed!
Nani kawapeleka bungeni?
Hizo kodi zenu wanazokula, wanaiba au wanapewa?

masopakyindi, ihurumie nchi yako na wahurumie Watanzania...yawezekana huna habari kuwa Chadema hawajawahi kukamata dola! Haijawahi kutokea popote duniani eti bajeti ya Upinzani ikajadiliwa bungeni, ni hapa Tanzania tu ambapo hata kwa akili ya kawaida, ujinga unaofanywa na Wabunge wa CCM unaweza kuvumilika na masopakyindi akashangilia...kweli, the country has gone to the dogs!
 
deni linakuwa kasi ya ajabu wao ccm wanapiga makofi mpaka ifike 2015 litakuwa trillion 40 time will tell
 
Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..

Aisee, Mzalendo wewe ni K ya ukweli.
 
[hustahili kuwa mmoja wa waJF plse get out of this page]

Ha ha ha!
A sign of a bad loser!
Mzee unafikiri JF ni kijiwe cha wana Chadema uchwara?
We knew you will lose, and you lost.
You guys are impenetrable to reason and smart moves.
And remember, he who laughs last, laughs the longest.
 
Nani kawapa leseni ya kufanya biashara?
Ni wajibu wa nani kukusanya kodi?

Kodi zenu indeed!
Nani kawapeleka bungeni?
Hizo kodi zenu wanazokula, wanaiba au wanapewa?

masopakyindi, ihurumie nchi yako na wahurumie Watanzania...yawezekana huna habari kuwa Chadema hawajawahi kukamata dola! Haijawahi kutokea popote duniani eti bajeti ya Upinzani ikajadiliwa bungeni, ni hapa Tanzania tu ambapo hata kwa akili ya kawaida, ujinga unaofanywa na Wabunge wa CCM unaweza kuvumilika na masopakyindi akashangilia...kweli, the country has gone to the dogs!
Mkuu wewe usikonde nimekuweka kiporo kwa ajili ya ligi kuu,
Not that I am slighting your contributions but like I said, ligi yangu nawe itachukua muda and I will go thru ALL your comments.
Niachie kwanza nitafune hizi njugu za small time thinkers.
 
Mkuu wewe usikonde nimekuweka kiporo kwa ajili ya ligi kuu,
Not that I am slighting your contributions but like I said, ligi yangu nawe itachukua muda and I will go thru ALL your comments. Niachie kwanza nitafune hizi njugu za small time thinkers.

Una roho ngumu mdogo wangu, lakini nafikiri kuna mambo ya msingi huwezi kuyatilia maanani kwa sababu huyajui kwani huyaoni na hata ukiyaona hutayatambua. Haya yote ni matokeo ya athari ya tume iliyoundwa tarehe 28 Januari, 1964 na kutoa ripoti yake tarehe 22 Machi, 1965. Tupo wengine wetu tuliokuwepo wakati huo ambao pamoja na nia nzuri ya Mwalimu ya kujenga taifa lenye umoja, tuliona athari ambazo hadi leo zinaendelea kuwatafuna Watanzania wenzetu kama wewe.

Mwalimu alipotaka kung'atuka mwaka 1975, hofu kubwa ilitanda nchini swali kubwa likiwa je, Tanzania bila Mwalimu inawezekana? Miaka kumi baadaye iliwezekana na Ali Hasan Mwinyi akawa Raisi wa pili Tanzania! Mwalimu huyo huyo kwa kutambua kwamba ili dunia iendelee kuwapo mabadiliko hayazuiliki, hakusita kuunga mkono upepo wa mageuzi. masopakyindi, kwa kipindi kirefu Watanzania walio wengi walikuwa wameathirika kiasi cha kutokuwa tayari kupokea mfumo nje ya ule waliouzoea.

Watawala wakatumia kikamilifu uoga wa ujinga wa wananchi walio wengi kuwaaminisha kuwa Tanzania bila CCM haiwezekani. CCM ndiye baba, ndiye mama na ndiye mlinzi wa amani na utulivu. Kwa leo naacha hapa masopakyindi, ila ukae ukijua kuwa moto wa mabadiliko hauzimwi kwa ubabe, hauzimwi kwa ulaghai na hauzimwi kwa kubeza mwamko wa wananchi. CCM inaelekea kubaya na kadri siku zinavyosonga ndivyo hali inazidi kuwa mbaya...watanyanyasa na hata kuua lakini yote ni kama kumwaga petroli motoni!
 
Last edited by a moderator:
baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, cdm itakuwa imevunja rekodi ya kuwa chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe chama hewa!!... Bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..
eee mungu baba nakuomba umponye huyu aliyeandika aliyeleta mada hii hapo juu pengne hajui anachokiandika ameen
 
Kulazimisha hoja Dhaifu zilizo na Majibu rahisi ni kuthibitisha UDHAIFU, Badilisheni hoja, hoja hizo zinawapambanua mlivo Dhaifu ktk kuona na kufikiri, huhitaji kuwa na elimu ya Form one kujua CHUKI za Kijinga ktk vitu vya MSINGI
 
Wewe nadhani unalewa mchana badala ya usiku sasa Chadema kwishnei ndio nini?? balada ya kusema Mtanzania kwishnei unasema Chadema... Chadema ni chama si mtu kumbuka Chadema wanatetea maslahi ya walalahoi kama mimi sasa wewe kama kwako kupo ahueni usiseme Chadema kwishney sema Mtanzania kwishney.. Hizi akili za ulanzi zina matatizo sana
 
Ama kweli sikio la kufa alisikii dawa hivi bado Tz kuna watu mabwege kama wewe ? Alafu unajiita mzalendo .wabunge wa ccm wote ni wanafiki kama nape na dhaifu kama jakaya.
 
Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..

ww ni hanis*.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom