Precision Air mnajiharibia, huduma zenu mbovu!

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
820
1,335
Hivi kweli jamani route ya humu ndani ya nchi from Mwanza to Dar ndege inatua Dar saa tisa usiku? Hii ni ile yenye ratiba inayoonesha inaondoka saa kumi na moja!

Kwanza mna customer care mbovu, hamjali kabisa wateja, mnawatreat mnavotaka nyie!

Sikilizeni; kama msharidhika kaeni pembeni tujikongoje na Air Tanzania yetu! Mnatukera sana sio siri, hapo ni hivi vindege viwili; mkiwa na dozen si ndio itakua issue?

Mmbongo akipata bwana aaahaaagahhhhhh mmm******$$$##
 
Mkuu ni kweli kabisa!

Mimi sijawahi ona ndege abiria wanazidi! Siku moja tulikua tunatokea Kilimanjaro kupitia Znz, ndege ilikuwa imeshajaa ili hali kuna abiria kutoka Zanzibar kwenda Dar. Wakapanda abiria wanne; hakuna seat, wakagoma kushuka! Ilikua kizungu mkuti, ikabidi sie abiria ndio tuwabembeleze manake walishasema hawashuki, wameshachelewa sana; na ilikuwaje wasijue kuwa ndege iko full? Kichekesho kitupu!
 
Precission ni kimeo kwa kweli kuna jamaa mmoja pale mwanza anaitwa Dismass anakera sana...
usije ambiwa uende kumuona ni mzinguaji ile mbaya.....
 
Hawana mana hawa PW tena kama unakwenda kwenye mkutano watakuchelewesha ujute,kuwapa watu seat 1 watu wawili ndio zao....
 
Imeshanitokea;

JRO-DAR! Ndege ya saa 7 mchana ikabadilishwa kuwa saa 1 jioni; mara napigiwa simu "ndege yako imebadilishwa utaondoka saa 3 usiku; Kufika JRO Airport mnatangaziwa kuwa "kutakuwa na ucheleweshwaji kidogo" mnaondoka saa 5 usiku!!!

Sasa wewe ni mgeni A town, chumba cha hoteli umesha-check out tangu asubuhi, inakuwa shida unabaki kuzurura madukani. What a shame!

Kweli ni bora ATCL kwani kwa ndege yao moja tu, safari za Kigoma/Tabora hazina mizengwe hii!
 
Hivi kweli jamani route ya humu ndani ya nchi from Mwanza to Dar ndege inatua Dar saa tisa usiku? Hii ni ile yenye ratiba inayoonesha inaondoka saa kumi na moja!

Kwanza mna customer care mbovu, hamjali kabisa wateja, mnawatreat mnavotaka nyie!

Sikilizeni; kama msharidhika kaeni pembeni tujikongoje na Air Tanzania yetu! Mnatukera sana sio siri, hapo ni hivi vindege viwili; mkiwa na dozen si ndio itakua issue?

Mmbongo akipata bwana aaahaaagahhhhhh mmm******$$$##

Kama PW wanakuboa si upande DALADALA. Mbona sisi tumezoea kubanana na kucheleweshwa vituoni, halafu kuna foleni usiombe. Mwenge -Posta masaa matatu lakini tuko POA tu. No Complain, Life goes on...teh
 
Jamani tusilalamike sana, mmbadala ni upi! Hiyo moja ya ATC inakwenda Tbr na Kigoma, Fly 540 haina route zaidi ya mikoa minne, tulalamike na kutoa mmbadala ila kwa wahaudumu mmoja mmoja aliye mkorofi au mzembe awajibishwe mara moja bila kujua ni wa ATC, 540 ama PW.
 
Kweli kabisa precision air customer care mbaya mno. Hivi juzi kati kulikuwa na wageni walikuwa wanataka kwenda Zanzibar nimepiga simu zaidi ya mara tano. Simu inaita tu bila kupokelewa. Nikaamua kughairi kufanya booking nao,nikawapigia simu kampuni nyingine, they pick up the phone very fast, wanazungumza kibiashara vizuri bila nyodo yoyote, and I confirmed booking with them. Nilijuta sana kupoteza muda wangu kuwapigia simu...

Nafikiri precision air wanahitaji kufanya mabadiliko makubwa sana kwa wafanyakazi walionao. Otherwise..reputation yao ikishaanza kuwa mbaya, kuna kampuni ndogo za ndege ambazo siyo za wazalendo zinakuja kwa kasi sana kibiashara, sasa kama biashara za wazalendo angalau tulizokuwa tunategemea zitashindwa tena kufanya vizuri sijui watanzania tutaelekea wapi? It's so sad.......
 
Kweli mi naona kama majungu tu. Nasafiri sana JRO to Dar and back sijawahi ona cancellation. Hata ndani naona pia wale cabin crew wana hospitality nzuri tu. Kama PW inaboa kula 540 wacha kulalamika.
 
Kaka nashukuru kwa taarifa. Nilikuwa nimewahama nikataka nitoke nao kesho lakini kama mambo yao ndiyo yale yale ya siku zote bora nibakie 540.
 
Mkuu ni kweli kabisa!

Mimi sijawahi ona ndege abiria wanazidi! Siku moja tulikua tunatokea Kilimanjaro kupitia Znz, ndege ilikuwa imeshajaa ili hali kuna abiria kutoka Zanzibar kwenda Dar. Wakapanda abiria wanne; hakuna seat, wakagoma kushuka! Ilikua kizungu mkuti, ikabidi sie abiria ndio tuwabembeleze manake walishasema hawashuki, wameshachelewa sana; na ilikuwaje wasijue kuwa ndege iko full? Kichekesho kitupu!

he he he he he hii kali ndege inajaa kama gari za mbagara??!!!!
 
Precission ni kimeo kwa kweli kuna jamaa mmoja pale mwanza anaitwa Dismass anakera sana...
usije ambiwa uende kumuona ni mzinguaji ile mbaya.....

Alphonce KIoko hana habari za wazinguaji kama hawa wanaomuharibia??
 
Imeshanitokea;

JRO-DAR! Ndege ya saa 7 mchana ikabadilishwa kuwa saa 1 jioni; mara napigiwa simu "ndege yako imebadilishwa utaondoka saa 3 usiku; Kufika JRO Airport mnatangaziwa kuwa "kutakuwa na ucheleweshwaji kidogo" mnaondoka saa 5 usiku!!!

Sasa wewe ni mgeni A town, chumba cha hoteli umesha-check out tangu asubuhi, inakuwa shida unabaki kuzurura madukani. What a shame!

Kweli ni bora ATCL kwani kwa ndege yao moja tu, safari za Kigoma/Tabora hazina mizengwe hii!

kuna sometym jamaa yangu fulani alikuwa Musoma kwa shughuli za kikazi na alikuwa na Return Ticket siku ya kurudi dar alicheleweshwa kwa siku tatu mfululizo ndege haiji wala nini
 
Back
Top Bottom