Recent content by ibrasule

  1. ibrasule

    Wamasai,Wairaqw,Wabarabaig, Wasukuma, waambiwa warudi "makwao".

    Nazani issue hapa si kuwafukuza wafugaji, kinachotakiwa niserikali kuwatafutia maeneo ya kulisha ng''ombe wao na kuwapatia elimu ya ufugaji bora. ukweli ni kwamba serikali pamoja na halmashauri zetu huwa zinapata kodi kutoka kwenye mifugo hiyo kila mwaka hivyo si busara kwa watu kusema wafugaji...
  2. ibrasule

    Manchester United will compete AUDI CUP 2009

    Mi sijaelewa vizuri naomba nieleweshwe kidogo. Kama Man U ni mabingwa wa Ulaya na Borca J ni mabingwa wa America kusini vipi hawa washindani wengine ni mabingwa wa wapi?
  3. ibrasule

    Yanga Bingwa!!

    Hongereni yanga Sports club kwa kutoa ubingwa mapema. Jukumu lilobaki ni kuhakikisha El ahly inatolewa hapa home.
  4. ibrasule

    Malecela avunja ukimya!

    Ngoja tusubiri tu maana hali ya nchi si shwari kabisa. Inafurahisha kuona ndani ya chama tawala kuna makundi ambayo at the end wananchi ndio watafaidika na mfarakano wao. Tuvumilie watoane macho wenyewe kwanza. Kila kitu huwa kina mwanzo na mwisho, hivyo inaonekana mwisho wa watu wachache...
  5. ibrasule

    Lijue Kabila halisi la Edward Lowassa

    Hapo ni patamu sana, sizani kama EL angekuwepo madarakani issue hii ingerise up? Ukweli unabakia palepale kuwa EL ni mmeru lakini kwakuwa alikuwa anawasidia wamasai insingekuwa rahisi issue hiyo kuwa discussed. lakini wanatakiwa kuwa waangalifu sana na mazungumzo yao maana si mtu wa mchezo...
  6. ibrasule

    Maisha Plus Tv Show ya Masoud Kipanya

    At least kijana anaonyesha ubunifu flani ambao tunatakiwa kumpongeza na kutakiwa kumsaidia kwa mawazo ili aboreshe vizuri.Huu ni mwanzo tu, nakumbuka siku za nyuma watu wengi walikuwa wakiwaponda waigizaji wa filamu za kibongo lakini hivi sasa asilimia kubwa ya watu wanazikubali filam za vijana...
  7. ibrasule

    Je Serukamba ni Mkweli kuhusu Dowans?

    huyu jamaa ni part ya mafisadi thus why he is defending the group. Kwa mtanzania wa sasa mwenye akili timamu huwezi kusauport ujinga wa namna hii. Serikali na tanesco walitakiwa kuwa na long plan kuhusu tatizo la umeme ukizingatia kuwa hali ya maendeleo ya nchi. Hivi tuseme kama downs ingekuwa...
  8. ibrasule

    The Next Move: Lowassa, Karamagi wakutana nje ya nchi

    Inaonyesha ni jinsi gani hawa jamaa hajarizika kupoteza ajira zao wakati ambapo walichangia kwa kiasi kikubwa kuiweka serikali hii madarakani. Ukweli ni kwamba mwaka ujao mambo yatakuwa mazito sana.
  9. ibrasule

    Mkuu wa Wilaya aliyecharaza Walimu huyu Hapa

    Ukweli ni kwamba uamuzi wa mkuu wa nchi kumfukuza kazi Mnali ulikuwa wa jazba, maana mnali aliona ni bora kuwaadhibu kwa viboko kuliko kuwafukuza kazi kwani wangepoteza maslai yao yote na sababu alikuwa nayo maana inaonekana hawa walimu walikuwa hawhudhuri madara sani kwa muda mrefu na...
  10. ibrasule

    Count down on Kiwira's report

    Mi nazani tatizo liko kwa wabunge wetu. Katika issue ambazo wabunge walitakiwa kujadili katika kikao cha mwisho (january) ni kiwira lakini cha kushangaza wakaingiza issue ya Laurence masha na kusababisha Kiwira kubaki hewani. Wabunge wanatakiwa kuwa na msimamo kwa ajili ya maslahi ya Taifa...
  11. ibrasule

    Ghana president 'to cut luxuries'

    Kwetu Tanzania huwa wanasema tu utekelezaji ndio unakuwa haupo. Mfano kuhusu Mashangingi nakumbuka Kikwete alisema kuwa atapunguza manunuzi ya magari ya kifahari lakini hadi leo hakuna kilichofanyika. End of last year ndio PM anasema wamekubaliana kupunguza hayo manunuzi ili wanunue matreka kwa...
  12. ibrasule

    Should Kenya and Tanzania merge?

    Mi sioni sababu ya kuogopa kuungana na kenya, kinachotakiwa kufanywa na watanzania ili tuweze kufaidika na muungano huo ni kuhakikisha kuwa tunafanya mageuzi ya kweli katika uongozi wa nchi. Ukweli ni kwamba tungekuwa na viongozi wenye upeo mkubwa ambao wangeweza kusimamia rasilimali za tanzania...
  13. ibrasule

    FRIENDZONE na wanawake

    Kuna mshkaji kaelezea kuwa unaweza kufuatilia demu aliyekutosa awali na baadae ukafanikiwa, hii si kitu kizuri maana atakuwa labda amechoka au katoswa na jamaa wa awali au amekuona mambo yako yako kwenye mstari. You need to be carefull, thus is not good!
  14. ibrasule

    Kenyan Elections 2007: Raila Au Kibaki

    ukweli ni kwamba tumechoka na wazee lakini hawataki kuachia nafasi kwa vijana.Mzee kibaki kafanya mazuri ila umri ni tatizo amuachie Musyoka.
Back
Top Bottom