The Next Move: Lowassa, Karamagi wakutana nje ya nchi

Mie kitu kinachonichanganya ni kuwa Mmiliki wa Dowans hajulikani. Sasa serikali ikiamua kununua hiyo mitambo Cheque au malipo yoyote yatalipwa kwa nani?????????? Hiyo pesa, ndiyo pesa ya walipa kodi, walala PUU atalipwa NANIIII?????????
 
Inaonyesha ni jinsi gani hawa jamaa hajarizika kupoteza ajira zao wakati ambapo walichangia kwa kiasi kikubwa kuiweka serikali hii madarakani. Ukweli ni kwamba mwaka ujao mambo yatakuwa mazito sana.
 
Msiogope wan JF,wacha waende popote,kama ni mbinu mpya hawana pa kuijaribia ila ni hii hii tz yetu.Kaeni mkao wa kula maana tutajua yaliyojiri mkutanoni.
 
Ukila lazima uliwe..JK anatambua hivyo.Hii move inaonyesha jinsi gani jamaa walivyokamia kuila nchi hii kwa namna yoyote. Hela zao zimewafanya kuwa so powerful, na pengine ni kujisahau kunawafanya wafikiri wanauwezo wa kufanya lolote pasipo kupata madhara yoyote.
 
aah sasa kweli nimeanza kuamini kuwa hawa jamaa wataendelea kutuzunguka kila kukicha, hivi hawa watu wa usalama wa taifa wanashindwa nini kuwabana hawa wajanja?? hata kama kuna mkuu wa nchi analeta urafiki wanapaswa kuangalia wale wamama wanaojifungua na kukosa vitanda, labda mtaona imani dah,
 
Na wale wabunge wawili ma"dokta" nao salamu zao nimezipata loud and clear. Nawashauri mikutano yao bora waifanyie humo humo Tanzania.. yule nzi katotoa!

Chess: It is your move.[/QUOTE]

......is this a warning? au?
 
Na wale wabunge wawili ma"dokta" nao salamu zao nimezipata loud and clear. Nawashauri mikutano yao bora waifanyie humo humo Tanzania.. yule nzi katotoa!

Chess: It is your move.

......is this a warning? au?[/QUOTE]

Hapana.. zilikuwa ni kurudisha salamu tu! Ukisalimiwa na wewe salimu.
 
Back
Top Bottom