Raila Juu....congratulations waliompigia kura hapa. Tunaomba aingie Ikulu tarehe 28/12/2008 wiki huu Ijumaa saa kumi kama Rais wa Nne wa Jamhuri ya Kenya
Jana Mheshimiwa Ruto aliwaeleza wananchi huko Changamwe kuwa wametayarisha basi liitwalo Othaya Express litakalompeleka Mzee Kibaki kwao.Bye bye Mzee...Bye bye Mama Lucy.Usisahau kuwatwanga makofi wajukuu.
Mwai Kibaki ana uchu wa madaraka, hii ndiyo maana hataki kuachia ngazi na akaiba kura. Pili, Raila alitangaza kuwa atakapokuwa Rais, ataunda kamati ya kuchunguza mauaji lukuki yaliyofanyika ya viongozi waadilifu kama Tom Mbuya na wenzake.Akina Moi na wenzake wanahofia siri zao za kuwaua viongozi hawa sasa zitafuchuliwa na kuchukuliwa hatua za mauaji.Wanaogopa kushtakiwa, hivyo ndiyo maana wanan'ang'ania wakikuyu na swaiba wao Kalenjin, waendelee kubaki kwenye madaraka ili kuepusha Accountability and Transparency ku;lingana na fikra sahihi za Raila Odinga.Wakenya muwe macho, watu kama akina Mwai Kibaki watawapeleka pabaya.Kibaki si kiongozi mzuri.Ni dikteta kama Iddi Amin Dada wa Uganda.Lakini pia tuliona matokeo yake yalikuwa mabaya sana.Kibaki be careful kwa sababu wanakenya watakutwisha mzigo mzito wa mauaji ya watu easio na hatia, pamoja na kuua Demokrasia nchini Kenya.Hata akm asi leo au kesho , lakini iko siku lazima familia yako itakuwa responsible kwa unyama unao fanya sasa.Historia itaeleza mambo yote hadharani.
Raila Odinga Yuko Juu Huyu Mwaya Kabaka(kibaki)hana Jipya Zaidi Yautapeli Kama Ule Ambao Huwa Tunafanyiwa Na Chama Cha-ccm Yaani Chukua Chako Mapema.
Mageuzi Yakweli Kenya Yataletwa Na Odm.
By Ng`wananogu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.