Yanga Bingwa!!

Ongera Yanga kwa ubingwa wa 22. Lakini acheni kuchukulia mambo kilahisi kazeni msuli mapilamidi yako njiani. SIMBA MWAKA HUU CHALI WAJIPANGE MWAKANI TU.
 
Hongereni yanga Sports club kwa kutoa ubingwa mapema. Jukumu lilobaki ni kuhakikisha El ahly inatolewa hapa home.
 
Maendeleo na pesa vinakwenda pamoja, mpira pesa saluti Yanga Afrika bado mnyama lazima achezee kichapo ndio ubingwa unoge zaidi!!

Kaseja hiyo ni sawa, tumekunua fedha nyingi lazima ulipe, pole dalali kwa kutabiri Simba itachukua ubingwa hata kama uwezo hamna, Hongera Wanayanga, Hongeara Manji, hongera TBL
 
Hawa jamaa wa Simba yani tangu wabahatishe kumfunga Zamalek basi wanaona wao ndo wanauwezo wa mechi za kimataifa. Badilikeni acheni kuwa na mawazo nyuma hivyo, jaribuni na sasa muone. Yeboyebo hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hongereni Wana kandambili ila ujanja wote mkitoka nje ya East Africa mnakuwa wadogo.
 
Kwa Tanzania hatujambo ila tukikutana na mafarao wa Misri mmmmhhh...Hongera Taifa stairs hongera Yanga

Ya ni kweli kwa waarabu hatuna ujanja, ila ni suala la hatua kwa hatua. Kwa Yanga hii wanahitaji muda kidogo ili waweze kuwa washindani wa kweli kwenye mashindano ya kimataifa, kikosi ni kizuri ila suala la ufundi, coordination na discipline (sio ile ya Maximo) bado kidogo.
 
Ya ni kweli kwa waarabu hatuna ujanja, ila ni suala la hatua kwa hatua. Kwa Yanga hii wanahitaji muda kidogo ili waweze kuwa washindani wa kweli kwenye mashindano ya kimataifa, kikosi ni kizuri ila suala la ufundi, coordination na discipline (sio ile ya Maximo) bado kidogo.
Hakuna cha visingizio hapa nyie subirini kichapo tu! Labda kujaribu kupunguza mabao isiwe fedheha kwa Taifa
 
utadhani kipofu kaona mwezi, Yanga bingwa, yanga Bingwa,...mnakeraaaaaaaaaaaaaa!!!!

Simba Taifa Kubwa!
 
utadhani kipofu kaona mwezi, Yanga bingwa, yanga Bingwa,...mnakeraaaaaaaaaaaaaa!!!!

Simba Taifa Kubwa!

Kelele zitaisha, manake wamisri watawabakisha tubanane nao humuhumu. Pia wakumbuke kichapo kinachokuja toka kwa Simba.
 
Washabiki wa Yanga kwa kelele utadhani Arsenal au Chelsea hehehe.
Weekend njema
 
Ni ni Uongo???

Ni Ukweli Mtupu!!! Yanga ni Bingwa na mechi 5 mkononi!

Simba maskini hata nafasi ya pili hakuna uhakika!

Sasa Simba nini mnatuonea wivu??

Tunawapenda na huwatakieni kila la heri ktk kupigania nafasi ya pili!
 
Jamani yanaga kaendeleza ubabe? au kagera wameendeleza kipigo kwa Dar young africa.

Kenya wamefungwa 2-1 na tunisi mjini nairobi na game limekwisha
 
Kwenye blog ya Yanga wanasema mpira umeisha 1 - 1. Vijana wetu waliyoko Yanga naona bado wanaipenda timu yao iliyowafundisha mpira.
 
Yaani Kenya wamefungwa kwao???

Du! Yanga ni bingwa tayari..hata wakifungwa mechi zote..ni Bingwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom