FRIENDZONE na wanawake

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Somo langu la jumatatu ya leo ni kuwa machizi fanyeni kila namna muavoid hiki kitu cha kuwekwa kwenye FRIENDZONE otherwise mtakuwa hmpati kitu in otherwords be friendly but don't be her friend...i know from first hand experince na huu mwaka wa tatu unakwisha nimewekwa kwnye huu mtego wa FRIEND ZONE...THE BOTTOM LINE IS women DO NOT reward sensitivity and loyalty with sex....
 
[/B]

brazamen sijaelewa hapo kabisa ,please elaborate more,thanks.
 
Hata mm sijaelewa kitu.... please put it in simple words for us BM!!
 
i think wat he is trying to say usiwe too friendly kwa demu else u wont get the time na chance ya kulila tunda...
 
Somo langu la jumatatu ya leo ni kuwa machizi fanyeni kila namna muavoid hiki kitu cha kuwekwa kwenye FRIENDZONE otherwise mtakuwa hmpati kitu in otherwords be friendly but don't be her friend...i know from first hand experince na huu mwaka wa tatu unakwisha nimewekwa kwnye huu mtego wa FRIEND ZONE...THE BOTTOM LINE IS women DO NOT reward sensitivity and loyalty with sex....

NImekusoma BM, wengine washasema kabisa the moment anakuzoea anakuona kama kaka!
 
Mimi pia imenitokea.Nilipokuwa Mlimani siku hizo kuna dada mmoja mzuri sana kwa kweli,tukazoeana,mwanzoni ilikuwa ni kuazimana "mades",badae ikawa ni kudisscuss,jamaa zangu wakaniambia nitumie nafasi mapema ile nile tundi lakini mimi (kwa kujifanya nna huruma na kuwa "sensitive" kama anavyosema BM) nikajifanya kutosoma signs.Baadaye nikaja kusikia jamaa mmoja mpuuzi kweli eti alipewa tundi akala!Iliniuma sana ila basi tu wivu ukanishika lakini wapi.Tulipoingia mtaani kusaka maisha nikawa nakutana naye ila tatizo likawa muda wa kumpa somo,pia kwa upande wangu financially nikawa unstable wakati demu kukawa na mashefa wako tayari kukata pochi ili kieleweke.Mpaka leo ikawa hivyo.So kool up BM,you really made a point there bro.
 
Mkuu hiyo ni kweli kabisa na if you have plans za kula tunda just make sure you keep that distance!!!
This almost occured to me as i was so friendly sometimes back to a girl who later turned to be my wife!!!
Just make sure you put that distance between you without altering your feelings for her!! she in turn will have to show the signs for you to go for it!!!!
But be careful on the signs as you might be reading the wrong chapter...... ha ha haaaaaa..... i like this one!!!
 
Mkuu heshima mbele,
Yaani kama ulikuwepo vile,mimi kwa kweli kilichoniogopesha ni hayo maneno niliyoyaquote na kuyabold,maana niliogopa kusoma chapter tofauti na kuishia kupigwa buti la aibu,mzee ila the bottom line is don't get that much closer to her ili uweze kula tunda salama na kwa nafasi kabisa lol!
 
Kwi kwi kwi!
sasa we Ibambasi na wenzako, bila kibuti utakuwa mwanaume wa namna gani? Ukomavu wa mwanaume na uzoefu wote katika kuwatokea hawa akina dada lazima utokane na vibuti kadhaa, sio miteremko tu kila saa. Waliofanikiwa kwa mademu, wengi wamekutana na vibuti kibao sana, sema tu huwa "HAWASEMI HADHARANI" kwamba fulani alinimwaga!
Najua vibuti vinakera (sometimes unatishia kumpiga aliyekukataa), lakini ndio uhalisia huo.
 
bila kibuti utakuwa mwanaume wa namna gani? Ukomavu wa mwanaume na uzoefu wote katika kuwatokea hawa akina dada lazima utokane na vibuti kadhaa, sio miteremko tu kila saa.
Mkuu kama ni vibuti basi mie ni bingwa,kuna mrembo fulani alinipiga mabuti miaka kama mi3 hivi lakini sikukata tamaa kila siku nakumbushia nia yangu mwishowe nikapata tunda.Nilifurahi sana
Uzoefu wangu unaonyesha kuwa ukiwa king'ang'anizi inafikia kipindi viumbe hawa wanakuonea huruma
 
There's a reason
for the sunshine sky
there's a reason
why I'm feelin‘ so high
must be the season
when that love light shines
all around us

So let that feeling
grab you deep inside
and send you reeling
where your love can't hide
and then go stealing
through the summer nights
with your lover
 
Kuna mshkaji kaelezea kuwa unaweza kufuatilia demu aliyekutosa awali na baadae ukafanikiwa, hii si kitu kizuri maana atakuwa labda amechoka au katoswa na jamaa wa awali au amekuona mambo yako yako kwenye mstari.

You need to be carefull, thus is not good!
 
Hivi wakulu naombeni ideas...... Inatokea unampenda msichana sincerely kabisa, na baadaye uzalendo unakushinda unaamua kumwambia na ANAKUTOLEA NJE VIBAYA MNO! Well kwa kukuona labda wewe ni choka mbaya... yaani mpaka unajiona hufai....baadaye unaamua ku-give up, but always deep in your heart you still have a belief in her that she can be a good partner and she is still single. Do you think its worthy it to go back to her after such humiliation? By then ulikuwa choka mbaya, but now...atleast things are well and you are doing pretty fine...the only problem is that you feel if you go back to her...hautakuwa na ule upendo wa mwanzo wa kweli kwa sababu uta feel kwamba amekubali kwa sababu now things are fine...
 
Wahenga walisema angalia sana uanzapo safari mguu ulioanzia kupiga hatua, huu waweza kuwa sababu nzuri au mbaya ya kufanikiwa katika safari yako. Haijalishi umevaa kata mbuga au raba mtoni (those days) Nakushauri sana usikilize moyo wako, kama unafikiri bado kamoyo kanakudunda kila umfikiriapo mrembo basi jitose, ila ndugu angali sana gear zako unazotoka nazo huenda kilichogomba mwanzoni sio ile hali ya kuwa choka mbaya, ni vile tu huna utaalamu wa nyama ya ulimi nk. Hata hivyo madada zetu siku hizi wakiona husimami kwenye vituo vya daladala, hata kama unatumia gari ya kazini tu basi wao huwa ni wapole na wanakusikiliza zaidi. Hata hivyo mambo haya hayatabiriki saanaaa.... All the best
 
Rudi tena mwanaume! ukipiga speed hupigi mara moja lazima uwe tayari kurudi tena na kuomba penzi la huyo dada kwa mara nyingine tena. Usiogope kushindwa mradi tu bado anakugusa moyoni basi piga moyo konde na ujitose tena.
 
Jamani KAMPENI NZITO nilioifanya KUTOKOMEZA UZOMBIII HUMU JF SIAMINI KAMA BADO MIZOMBIII IPO!!!! Khaaaaaaaaaaa! Mbona hamjihurumii nyie mibaba? KATAENI KUWA FOREVER SECOND!!! There is 1 and only 1 rule!!! Either Unapata Kidude au Utaishia Kukiona Kikiliwa na Wenzio tuuu! Baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaass
 
Back
Top Bottom