Recent content by hsagachuma

  1. H

    Shime wananchi tusifanye makosa mgomo wa ma-dr ndio mtaji wetu

    Haa Haa Haa KUMBE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! napita
  2. H

    Mgomo wa madaktari-wanasiasa, wanaharakati mbona kimya?

    Ngawira ilimuuwa Yesu. Utu umetoweka
  3. H

    Madaktari Sawa Watatoka Cuba, India na China. Manesi Je?

    Serikali ikifanya hivyo itatesa watu. Madaktari wetu wappendwa watakula nini. Botswana kazi hakuna tena.
  4. H

    Updates: Kesi ya Mpendazoe v/s Mahanga

    Nayeyusha. Akitolewa Mahanga atarudi kuuza baa yake huko TBT inayoitwa Nyantare
  5. H

    Hii nchi ya ajabu sana!!

    hiyo ni balaaaaaaaaaaaaaaaaaa mno
  6. H

    Viongozi chadema angalieni hili

    Haya kanyaga twende
  7. H

    Mrithi wa REGIA ni Cecilia Paresso

    mmmm!!!!!!!!!!! nawaachia hayo
  8. H

    Kigogo UVCCM ahamia CHADEMA

    Huyo si kigogo. Ananjaa ya nafasi ya Kafulila. Mjumbe wa mkutano mkuu hana dili aende. CDM wawe waangalifu anaweza kuwa kama Kafulila
  9. H

    Mafisadi CCM sasa wakalia kuti kavu; JK alikwepa mtafaruku, kupisha upepo mbaya

    Muda wa maamuzi magumu kwa chama umefika. Nadhani anaye jiona fisadi aachie ngazi mapema
  10. H

    Wasichana wa UDSM, IFM ,Ustawi, CBE wanajiuza Club Ambiance

    Wapo mchanganyiko. Wasomi wa UD,CBE, USTAWI NA IFM wanapanua sana pale. Kuna vijumba wanaviita hostel karibu na pale. Njaa inawaua na pia wanataka kula raha zaidi ya uwezo wao.
  11. H

    Mgeja: Niko tayari kufukuzwa CCM

    Mgeja amechoka na amepauka kisiasa. Aondoke haraka na akaungane na gamba kuu huko Monduli
  12. H

    Lowassa siyo mrahisi kama RA; ni Mtu wa visasi zaidi

    Nadhani muda wa EL kisiasa umekwisha atafute shughuli nyingine. Fedha anazo aende kupumzika Monduli kama waziri mkuu mstaafu.
  13. H

    Mabalozi wa CCM Igunga wataka kujivua gamba; Wadai rushwa ilitumika

    Hao mabalozi wanasumbuliwa na njaa. Kama walidhani fedha waliyopewa itakuwa ya kudumu wamekwisha kabisa. Hawa ndio waliolia Rostam alivyotoka. Waende waendako hata SAU waende tu.
  14. H

    Bungeni: Shibuda aongelea hatma yake ndani ya CHADEMA!

    CDM hawamuwezi huyo kamanda wa Maswa. Kwanini anaongea bila wasiwasi na viongozi wanakosa majibu. Ujanja wa Mbowe na Slaa umekwama hapo. Huo ni mwiba mkali na mchungu kama mgao wa umeme Mwanza.
Back
Top Bottom