Mgomo wa Madaktari: Kigwangalla asema 'Sihusiki!', kuchukua hatua za kisheria dhidi ya media

Haters mnahangaika bure bin buresha! Mimi I am not to say in politics for long, nimeishaamua kutogombea tena sasa mnahangaika kweli kujaribu kutafuta jinsi ya kunimaliza, fanyeni kazi zenu bana. Nimeishawajua mnaohangaika na mimi, mnafanya spinning za kila aina, mnapoteza muda wenu bure. Nitatoa mfano wa kuwashughulikia watatu kati yenu na hapo tutaheshimiana, najua mtaumia sana maana hamna pa kushika zaidi ya kuhonga na kulamba lamba miguu mpewe vyeo, nitahakikisha hamchaguliki na wala hamteuliki kamwe, nitahakikisha mnastaafu siasa mkingali wadogo! Mimi siyo kama nyie uzuri wenyewe, you cant hurt me brothers, mimi nimetoka shambani na street na huko nimepazoea, nitarudi peacefully, nyie mtarudi wapi? Hizi ni salamu kwenu...kaeni tayari kusikia kutoka kwangu...mtajua kwa nini nilipewa jina la 'Simba dume'
 
Kwa huu uzi hapa...nimeku-devalue ..

Ungekaa kimya afadhali yako
 
Kigwa huu uamuzi unaotaka kuufanya sio mzuri hata kidogo..usifikiri kuwa watu wanayokupinga hapa wanamaanisha kuwa wanakuchukia au hawapendi maendeleo yako au hawaoni mchango wako..mchango wako ni mkubwa sana kwenye jamii kama hujui ..na unaweza ukawa huamini ila unaweza kukuta wengi waliokomenti kwenye hii thread hawana nia mbaya na wewe na wengi wao hawakujui kwa ukaribu wala nini kama unavyofikiria.Nchi yetu inahitaji vijana kama nyinyi na huo mpango wako wa kutokurudi tena please fikiria kwa mara ya pili..ukipingwa haimaanishi kwamba unachukiwa au watu hawataki uwe hapo ulipo..wengine ni hulka yao kutosifia na kupigia makofi kila kitu na wengine wana hasira na chama chako tu thats all.
 
@ HKingwala Pole na majukumu
Kwa nini hutoi summmary na feedback ya report ya statement kama hizi Kuhusu mfuko wa CDF jimboni kwako na shughuli zako nyinginezo za umma. Nyie wanasiasa msiwe mnakuwa reactive. Japo kila baada ya miezi mitatu kila mbunge alitkiwa kutoa Press realase ya shughui zako.

Huo ndio uwazi na uwajibikaji wa vijana wa kasi mpya na nguvu mpya tunaotegemea. Ina maana bila mgomo wa madaktari tusingeona Press release ya ofisi ya mbunge wa nzega .......

Kigwa huu uamuzi unaotaka kuufanya sio mzuri hata kidogo..usifikiri kuwa watu wanayokupinga hapa wanamaanisha kuwa wanakuchukia au hawapendi maendeleo yako au hawaoni mchango wako..mchango wako ni mkubwa sana kwenye jamii kama hujui ..na unaweza ukawa huamini ila unaweza kukuta wengi waliokomenti kwenye hii thread hawana nia mbaya na wewe na wengi wao hawakujui kwa ukaribu wala nini kama unavyofikiria.Nchi yetu inahitaji vijana kama nyinyi na huo mpango wako wa kutokurudi tena please fikiria kwa mara ya pili..ukipingwa haimaanishi kwamba unachukiwa au watu hawataki uwe hapo ulipo..wengine ni hulka yao kutosifia na kupigia makofi kila kitu na wengine wana hasira na chama chako tu thats all.

Anaweza akawaona Wote wanaomkosa haters. Sasa je wale wana CCM anaowakosoa na wanamwita hater na wanataka anyangwawe kadi ya chama nao tukubaliane nao.

Ukweli hakuna aliyekamilika. Makosa huwa yanaanza pale tunapodhani tumekamilika. 100%
 
Kwani huyo Bagaile a.k.a Hamis Kigwangala yuko Chadema? Maana wakubwa wanasema Chadema ndiyo wanaochochea huu mgomo.Ama kweli mfa maji haishi kutapatapa, yaani Serikali ya CCM inatafuta mchawi kila uchao.

Yani kila lawama sasa hivi serikali ya CCM inatupia CHADEMA. Migomo ya Wanafunzi vyuo Vikuu ni CHADEMA, Mapato ya Serikali kushuka ni CHADEMA, Bwawa la Mtera kukauka ni CHADEMA, Umeme kukatikakatika ni CHADEMA, Upungufu wa Madawa Mahospitalini ni CHADEMA, Mafurika ni CHADEMA, nk.
 
Haters mnahangaika bure bin buresha! Mimi I am not to say in politics for long, nimeishaamua kutogombea tena sasa mnahangaika kweli kujaribu kutafuta jinsi ya kunimaliza, fanyeni kazi zenu bana. Nimeishawajua mnaohangaika na mimi, mnafanya spinning za kila aina, mnapoteza muda wenu bure. Nitatoa mfano wa kuwashughulikia watatu kati yenu na hapo tutaheshimiana, najua mtaumia sana maana hamna pa kushika zaidi ya kuhonga na kulamba lamba miguu mpewe vyeo, nitahakikisha hamchaguliki na wala hamteuliki kamwe, nitahakikisha mnastaafu siasa mkingali wadogo! Mimi siyo kama nyie uzuri wenyewe, you cant hurt me brothers, mimi nimetoka shambani na street na huko nimepazoea, nitarudi peacefully, nyie mtarudi wapi? Hizi ni salamu kwenu...kaeni tayari kusikia kutoka kwangu...mtajua kwa nini nilipewa jina la 'Simba dume'

Mkuu Kigwangala,
Si Ugombee tena umbwage tena Hussein Bashe? Kwanza wewe angalau umeweza kuweka rekodi nzuri ya kiutendaji kuliko hata Lucas Selelii

Kigwangala in need of uwaziri???? No way, labda kama another sort of media promo.
Mtu ambaye yupo in need of uwaziri au hata unaibu ni Ndugulile, mbunge wa Kigamboni, huyo ndiye amekuwa aki support secreatly mgomo huo, not for the good of the field but for his good.
Kumhusisha Kigwangala na uhitaji wa uwaziri its very fun.
Ndugulile ndiye anahitaji na ni mtu hatari ka kama atapata.
 
Haters mnahangaika bure bin buresha! Mimi I am not to say in politics for long, nimeishaamua kutogombea tena sasa mnahangaika kweli kujaribu kutafuta jinsi ya kunimaliza, fanyeni kazi zenu bana. Nimeishawajua mnaohangaika na mimi, mnafanya spinning za kila aina, mnapoteza muda wenu bure. Nitatoa mfano wa kuwashughulikia watatu kati yenu na hapo tutaheshimiana, najua mtaumia sana maana hamna pa kushika zaidi ya kuhonga na kulamba lamba miguu mpewe vyeo, nitahakikisha hamchaguliki na wala hamteuliki kamwe, nitahakikisha mnastaafu siasa mkingali wadogo! Mimi siyo kama nyie uzuri wenyewe, you cant hurt me brothers, mimi nimetoka shambani na street na huko nimepazoea, nitarudi peacefully, nyie mtarudi wapi? Hizi ni salamu kwenu...kaeni tayari kusikia kutoka kwangu...mtajua kwa nini nilipewa jina la 'Simba dume'

I see . . . . . .
 
Things are not always as they seem... am seriously dissappointed!
Umeingia kwenye siasa uchwara inahitajika uwe na roho ya chuma, tatizo hilo lichama ulilopo watu hawalipendi na ngumu sana kushine ukiwa ndani ya lichama la hovyo namna hiyo, nilikuwa siku ile na Zitto Kabwe mlipokuwa Mlimani tv mlifanya vizuri wote wawili, tatizo kubwa ni CCM usikubali kufa na CCM ni janga la Taifa.
 
CCM huwa wananiacha hoi sana. Huyu Mami kwenye kura za maoni pale Nzega alishika nafasi ya pili but magamba yakampitisha yeye na kumpiga chini msomali kisa si raia alihamia tu nzega. Sasa Mzee dr. K ameanza kuwasemea ovyo CCM chama chake wameanza tena kumuona hafai. CCM Tambara bofu kujifunikia halifai.
 
Ni kichekesho kweli... endapo wanasiasa wote wangekua wanajibu kila kitu wanachosikia hata kwenye vibanda vya chipsi basi tungekua na idara kabisa maalum wizarani na kwenye magazeti na hata vijarida INAYORATIBU MATAMKO

Ni upuuzi mkubwa kila kukicha mtu mmoja kutoa matamko....

What a waste of time, sometimes letting things go gives one more respect
 
bagaile = vuvuzela

Inasikitisha sana jinni mnavyotumia jina la mama yangu Mzazi kwa matani, kweli watanzania mmepoteza maadili na ndogo maana naomba siku zikimbie nitoke kwenye haya maisha ya umma nirudi private maana mnanitukania wazazi Mzazi wangu bila sababu za msingi kisa haka kacheo ambako sioni faida yake sana
 
Ni kichekesho kweli... endapo wanasiasa wote wangekua wanajibu kila kitu wanachosikia hata kwenye vibanda vya chipsi basi tungekua na idara kabisa maalum wizarani na kwenye magazeti na hata vijarida INAYORATIBU MATAMKO

Ni upuuzi mkubwa kila kukicha mtu mmoja kutoa matamko....

What a waste of time, sometimes letting things go gives one more respect
watanzania tumejenga TAIFA la lamenters hivyo hakuna la wema nyie kutoka kwa kiongozi wa CCM, ningekaa kimya mngesema ni kweli
 
kigwa wewe ni mtu mwenye nia ya kuisaidia jamii ya wananzega tatizo ni kwamba umeshindwa kutambua challenges zipi zinatoka kwa wananzega na zipi zinatoka kwa wapinzani wako waliopo ndani ya chama chako.
Huwezi jua ktk comment zote hizi huwenda hakuna comment hata moja ya mwananzega! simba dume huwa hamkimbii adui, kuyakimbia matatizo ni dalili ya udhaifu
 
Back
Top Bottom