Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,134
- 664
Twampotezea mie nilifikiri Benno Malisa kumbe ni kidagaa tu, nenda zako usirudi
Alipokuwa member wa CCM alikuwa samaki,sasa amehamia CHADEMA ameshakuwa mdogo kiasi cha kumfananisha na dagaa?
Twampotezea mie nilifikiri Benno Malisa kumbe ni kidagaa tu, nenda zako usirudi
neno kigogo liko very abused
...hapa mkuu,maamuzi magumu ni kuisaliti nguvu ya umma lakin hilo la kuwasaliti mafisadi ni raisi sana...karibu nyumban Tanganyika...Safi sana kijana,umefanya maamuzi magumu!
anatafuta kugombea ubunge tu hana loloteSafi sana kijana,umefanya maamuzi magumu!
CDM ni kawaida yenu kumpokea kila mwana CCM anayekuja kwenu! swali langu ni je huwa mnawafanyia character assessiment? kumbukeni hata Shibuda alihamia hivyohivyo!
CDM ni kawaida yenu kumpokea kila mwana CCM anayekuja kwenu! swali langu ni je huwa mnawafanyia character assessiment? kumbukeni hata Shibuda alihamia hivyohivyo!
Twampotezea mie nilifikiri Benno Malisa kumbe ni kidagaa tu, nenda zako usirudi
bado KIGOGO NAPE.
Leo najikumbisha msemo wa KUVUJA KWA PAKACHA nafuu ya_ _ _ _ _ Nenda ukavae magwanda
Twampotezea mie nilifikiri Benno Malisa kumbe ni kidagaa tu, nenda zako usirudi
Nenda ukapiganie demokrasia ndani ya CDM, muulize ZITO kawa Naibu Katibu Mkuu hewa maamuzi yote ni kanda ya Kaskazini. Hata ikatokea Kafulila amepoteza ubunge, watamleta mhindi agombee ili kulipa fadhila kwa Sabodo
There is no oposition in TZ politics. Sababu katiba itawafanya wawe mafisadi. As for now CHADEMA wamefanikiwa kufanya vurugu tu lakini hawajaweza na hawataweza kubadilisha mwelekeo wa maendeleo hadi ipatikane katiba toka ughaibuni.
Umejitahidi lakini waaapi!! karoho kanakuuma kama nini!! Karibu Mkuu MAFILILI tuungane tuupinge huu ukoloni wa mtu mweusi.
Huyo si kigogo. Ananjaa ya nafasi ya Kafulila. Mjumbe wa mkutano mkuu hana dili aende. CDM wawe waangalifu anaweza kuwa kama Kafulila