Mara ngapi iran kapiga israel, tstizo gharam ya kuishambulia israel ni kubw sababu ni mbali n makombora mengine ynatunguliwa na nchi ynmopitbzo ni allies za marekani. Kutoka israel kuja irani ni almost 1800 km. Kushambulia umbali huo inahitaji akili kibwa. Israel yy ana nafuu sababu anatuma...
Iran ameshaharibiwa defence facility kwa asilimia zaidi ya 70, kuendelea kupambana ni akili ya ziada, wanastahili pongezi maana wanapigana na mataifa 2 yenye guvu
Marekani ni tajiri kwa mali za damu, once dunia ikishtuka dola ikaangula hna kitu pale, hazalishi chochote zaidi ya kuuza dola. Ndo maana ukitaka kuiangusha dola unapotea within no time
Hapigwi ila anachofanya marekani ni ugaidi. Hakuna vita ya kuharibu miundombinu ya kiraia ukasema unapigana vita unapiga vinu vya maji ya kunywa, madaraja, vinu vya umeme. Huo ugaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.