Simuelewi Mke wangu

Simuelewi Mke wangu

Habari.

Mimi na mke wangu Tumeanza kuishi pamoja tangu 2022 ila kuna changamoto niliziona tangu mpaka leo sijawahi kuona zikibadilika zaidi ya mimi kuwa maskini wa kutupwa.

Mke sio mpenzi wa tendo mara nyingi mimi ndo nimekuwa nikimuanzishia hili suala na nilipambana kufuatilia Hospitali alionekana ana uvimbe akafanyiwa operation ila bado mpaka sasa mimi ndo kama nina uhitaji mkubwa na hili Tendo.

Kingine sio mtu wa furaha wala Amani nyumba yangu tunaishi kama tuko msibani sio mtu wa furaha hayuko romantic wala nimejitahidi sana ila hajabadilika.

Najiuliza je kwa hali hii Tuishia wapi hajafika miaka 30.
Atakuwa alibakwa wakati anatolewa biKra
 
Labda ngariba kakata kisimu chake kutuka katika shina kabisa 🤔

Ukeketaji ni kitu kibaya sana.
 

Tafuta Sasa Ambaye Yupo Romantiki...Maisha Ni Wewe Kwanza,,Acha Kupoteza Muda Na Kuumiza Akili Kwa Changamoto Za Mtu Mzima Mwenzio...
 
Mnaoa wanawake wametumika na masela unategemea nn. Huyo keshatembea hadi speedometer ikarudi 000000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom