Dudu langu
JF-Expert Member
- Jul 5, 2026
- 241
- 703
Umuelezee wewe baba yake acha utahiraaaaSijasema kama namaindi bali nilikuwa najaribu kumuelezea namna alivyo

Mwanamme hawekewi ultimatum.Salam. Wakuu moja kwa moja kwenye mada
Wakuu nina demu wangu yapata sasa miezi minne kabila lake ni Mjita
Kiuhalisia hana shida kwani ananifanyia kila kitu ambacho mwanamke anatakiwa kumfanyia mwanaume
Lakin kuna tabia moja naona imeanza kunichosha
Demu ni mbabe mbabe haswaa
Ana kauli za kibabe mpaka kuna muda nakaa najilaumu
Mkipishana kidogo utasikia '' Yaani mimi kuachwa wala hata siwazi'' au "ww kama hunitaki niambie hata sasa hivi"
Nishamuonya sana anadai atabadilika baadae tena unakutana na hali ile ile
Kuna muda unaweza ukamuuliza kitu hilo jibu utakalokutana nalo likakupandisha hasira
Kuna siku tulipishana kidogo akaanza kudai tuachane mara tafuta mwanamke mwingine nikamuuliza "unamaanisha" akajibu "ndiyo" nikaitikia "sawa" na nikampotezea cha ajabu anakuja kunitafuta anasema alipitiwa
Demu ukimuita utasikia anaitika oyoo
Kuna muda ananiita Chalii
Mpaka kuna muda nahisi au ndo ile kaliba ya matomboy au labda malez aliokulia
Nyie wenzangu mnawezaje kuishi na wanawake wa hivi
Dogo nisikilize kwa makini, Leo ukirudi Nyumbani akiwa imetulia, Mwambie Mimi Maneno yako na tabia zako za kukosa adabu siziwezi, sikutaki tena chukua kila kitu chako nauli nakueletea page begi uondoke.Mkipishana kidogo utasikia '' Yaani mimi kuachwa wala hata siwazi'' au "ww kama hunitaki niambie hata sasa hivi"
Kupigiana tena?mchape vizuri kama hutoona mabadiliko
kudadeki muhuni huyo hakuna mke hapoSalam. Wakuu moja kwa moja kwenye mada
Wakuu nina demu wangu yapata sasa miezi minne kabila lake ni Mjita
Kiuhalisia hana shida kwani ananifanyia kila kitu ambacho mwanamke anatakiwa kumfanyia mwanaume
Lakin kuna tabia moja naona imeanza kunichosha
Demu ni mbabe mbabe haswaa
Ana kauli za kibabe mpaka kuna muda nakaa najilaumu
Mkipishana kidogo utasikia '' Yaani mimi kuachwa wala hata siwazi'' au "ww kama hunitaki niambie hata sasa hivi"
Nishamuonya sana anadai atabadilika baadae tena unakutana na hali ile ile
Kuna muda unaweza ukamuuliza kitu hilo jibu utakalokutana nalo likakupandisha hasira
Kuna siku tulipishana kidogo akaanza kudai tuachane mara tafuta mwanamke mwingine nikamuuliza "unamaanisha" akajibu "ndiyo" nikaitikia "sawa" na nikampotezea cha ajabu anakuja kunitafuta anasema alipitiwa
Demu ukimuita utasikia anaitika oyoo
Kuna muda ananiita Chalii
Mpaka kuna muda nahisi au ndo ile kaliba ya matomboy au labda malez aliokulia
Nyie wenzangu mnawezaje kuishi na wanawake wa hivi
Finally "tuushi bao kwa akili" mwisho wa kunukuu!!Salam. Wakuu moja kwa moja kwenye mada

ia mimi kuachwa kama kunywa maji tu wala siwaziMwanamke anakupenda ila anaogopa kuumizwa ndo maana anakwambia hata ukiniacha sawa tu kiuhalisia hawez kukuacha wala kukucheat tupo nao huku huenda unakuja kukuta yeye ndo kakuanza wew mwambie vitu ambavyo hupend akivifanya usimsamehe kirahisi ataacha
ShukranHuyo sio mbabe. Ila mapenzi yake kwako yalishaisha.