Chuo cha Madini Dodoma siwaelewi

Chuo cha Madini Dodoma siwaelewi

Pale ni bonge la Chuo mzee.
Kuna shule nzito na ngumu kweli kweli.
Kama kijana wako amechaguliwa pale ni kichwa haswa.

Kipo karibu na Chuo cha Mipango Dodoma (IRDP)
Kunaitwa Mipango - Anashuka Mipango (Miyuji ) kwenda madini ni Dakika 5 tu....

Nenda Dodoma
Usichezee hiyo Fursa adhimu Dogo akitoka hapo uhakika ni mkubwa kwenda GGM.
Hahahahaha uongo huu.
 
Nina mtoto wangu amemaliza form four, amechaguliwa kwenda kusoma mining engineering chuo cha madini dodoma (MRI) nimejaribu kufuatilia website ya chuo hawana, nimepiga simu zao +255 26 230 0472 za ofisi zimefungiwa hawajalipa bill muda mrefu, nimetuma email zimekuwa rejected kwa maana email hizo hazipo.
info@mri.ac.tz
principal@mri.ac.tz

Kama kuna mtu anawajua vizuri hiki chuo msaada tafadhali namna ya kuwafikia kwa njia za kisasa sio kusafiri kwenda Dodoma. namna ya kufanya application ama kuconfirm selection maana hawajitangazi, hawafanyi kila kitu nimesearch tu hata taarifa zao zipo kwa uchache sana mpaka nawaza kama hamna kitu pale
JARIBU HII (Jumatatu hadi Ijumaa 09h00 - 15h00)
0762 169587
Ukikosa jaribu kupiga hizi waombe wakupe namba ya chuo.
0800110388 , 0736 310 311
 
Kama unajipa moyo na vyuo vya hapa.Kama umeenda kuuza mwanao.Mimi sisomeshi mtoto hapa nchi inatiwa Tanzania.Nilishagundua tatizo
 
Tupe Maelezo Tujifunze
 
Mbona redflag ushaiona toka asubuhi ila unalazimisha tafuta chuo kingine kwa mwanao kama kweli unataka mwanao asome
 
Tupe Maelezo Tujifunze
Hapa tanzania kuna haribu ndoto za vijana wengi.Kuna mtoto alichukuliwa na wajarumani ila kwa akili yake leo kawa mzuri huko ila hapa tanzania utasikia mirad ayo kusema mtanzania
 
Ni Sahihi Tanzania Mtu Anapata Vyeti Tena Anapoambiwa Mfano Injinia Ila Hawezi Kufanya Kazi
Mpaka Vijana Wa Mtaani Waletwe
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Nimeshaapta joining nashukuru sana mlionipa taarifa sahihi
 
Nina mtoto wangu amemaliza form four, amechaguliwa kwenda kusoma mining engineering chuo cha madini dodoma (MRI) nimejaribu kufuatilia website ya chuo hawana, nimepiga simu zao +255 26 230 0472 za ofisi zimefungiwa hawajalipa bill muda mrefu, nimetuma email zimekuwa rejected kwa maana email hizo hazipo.
info@mri.ac.tz
principal@mri.ac.tz

Kama kuna mtu anawajua vizuri hiki chuo msaada tafadhali namna ya kuwafikia kwa njia za kisasa sio kusafiri kwenda Dodoma. namna ya kufanya application ama kuconfirm selection maana hawajitangazi, hawafanyi kila kitu nimesearch tu hata taarifa zao zipo kwa uchache sana mpaka nawaza kama hamna kitu pale
Wapo Miyuji pale, Karibu na msalato JW
 
Back
Top Bottom