Mtanisamehe kwa hili

Mtanisamehe kwa hili

Mkuu wewe ndo Hujaielewa namaanisha nini kwenye huu uzi!

Look at the context. Leo mtu akipanda gari la Uma anafika aendako mida gani?

Wacha kujifariji mkuu na watu wa nje! This is a weak mind talking.

Tumeongelea context ya nchi ya Tanzania sio nje, wanao panda magari haya ni maskini na hawana option. Hata ya kupanda boda because of cost issues
Sasa usiwanange wasio na magari, ilitakiwa uikoromee serikali yako inakuaje nchi yenye utajiri wa kila kitu wananchi wake wanahangaika na usafiri tena kwenye jiji kubwa haswa la kibiashara kama Daslama. Hio mwendo kasi tatizo ni nini?? Wangeshusha mabasi ya kutosha mwendo kasi na kuifanya public transport kua ya uhakika, hivi unafikiri watu wangehangaika kununua magari?? kwa mfano kila baada ya dakika 15 basi hilo hapo, na daladala /bodaboda na bajaji marufuku kuingia mjini kati. Afrika matatizo makubwa tunayo kichwani na ubinafsi uliokithiri. Fika hapo tu nchi za kaskazini Morocco, Algeria na Tunisia, wale jamaa usafiri si ishu, public transport zipo poa kabisa. Africa kusini mwa sahara kwa watu weusi tulilaaniwa.
 
Enyi wamatumbi mnao taka kuwahi magari ya daladala. Naombeni mnisamehe kwa bandiko hili ila naomba mjitafalari kidogo.

Hivi huwa mnajisikiaje ndani ya nyoyo zenu? Yaani unakuta mtu wa miaka kuanzia 35 na kuendelea eti na yeye anakaa kupambana na vijana wa miaka 20 kwenye daladala.

Wth is wrong with you guys? Hivi ni kwamba mmekata tamaa ya maisha Liwalo na liwe tu? Mimi sema kweli juzi gari la shem lilikua bovu so tu kasema instead of ubering gari ngoja nikapande gari za daladala just for fun maana ni muda mrefu sana.

So katika kufikia pale kituoni kulikuwa na abiria wengi sana, Ila cha kushangaza ni kuwa kulikuwa na watu wazima kabisa.. Yaani nikawa nawacheki wale watu nasikitika tu moyoni najiuliza hata 6M mtu anashindwa kweli kudunduiza akipata? Dah aisee alafu ukiangalia hata mindset za hawa watu, bado kabisa they are man child. Bado hawajakuwa kifikra, basi unaishia kusononeka tu.

Jamani hiki kitu so kizuri hasa kwa watu wazima. Imagine baba wa familia huna usafiri wako, inaitwa mzee wa Kaya. Hapo kuna watoto nyuma yako.. How does that feel?

Hivi wewe kweli una hisia? Kweli kabisa uko sawa kuona wenzako wanaishi maisha na wewe una survive? Kweli kabisa huna uchungu ndani yako wa kujifanya upambane not just for you, ila kwa ajili ya watu walio nyuma yako?

Atleast hata uwe example nzuri kwa wanao kuangalia? Ndugu zangu fanyeni kama kujihurumia. Angalieni mustakabli wa maisha yenu. Angalieni kuwa tayari umri umesha sogea na regrets za mtu mzima ni mbaya zaid ya kijana aliye kuja kubadilika na kutoboa.

Haya, kuna watu huwa wana nongwa. Wewe mwenye nongwa endelea kuona uko sawa mpaka siku utakapo kuja kidharauliwa na vitoto vya elfu mbili ndo utajua na maanisha nini.

Asubuhi njema. Na eny wamatumbi wahini kazin mkaendelee kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight.

Nimemaliza.
Watu wana magari lakini bei ya mafuta ni kubwa kiasi ambacho huwezi kuwa na pesa ya kununua mafuta kila siku, hivyo kuna siku unalazimika kupaki gari na kupanda daladala ni hivyo tu yaani, kumiliki gari sio tatizo, kulimaintain ndio changamoto.
 
Sema gari inalinda brand bhana, yaani hata ukiingia bar funguo inaning'inia kwenye ruksi ya jinsi videmu macho juu juu kwako.

Mimi viwanja ambavyo hawanijui jina langu wahudumu wananiita yule kaka mwenye toregi(wakimaanisha touareg)

Sema mkuu 30's umewaonea. Kibongo bongo hapo bado kundi kubwa la wanaume lipo kwenye chaos. Ungeanzia 40's. Halafu kuna kundi la wanawake mabonge nyanya umelisahau unakuta mtu siti mbili za daladala anakaa peke ake abiria mwingine anakalia tako moja. Hawa mabonge nyanya nao ni wa kuimizwa wanunue usafiri binafsi.
Actually haijalishi jinsia ukisha fika 35 and above wewe sio wa kuonewa huruma. Kabisa. Unajua huwa wanaona soo sana na huwa wanajistukia ila ndo ivyo hamna jinsi
 
Sasa usiwanange wasio na magari, ilitakiwa uikoromee serikali yako inakuaje nchi yenye utajiri wa kila kitu wananchi wake wanahangaika na usafiri tena kwenye jiji kubwa haswa la kibiashara kama Daslama. Hio mwendo kasi tatizo ni nini?? Wangeshusha mabasi ya kutosha mwendo kasi na kuifanya public transport kua ya uhakika, hivi unafikiri watu wangehangaika kununua magari?? kwa mfano kila baada ya dakika 15 basi hilo hapo, na daladala /bodaboda na bajaji marufuku kuingia mjini kati. Afrika matatizo makubwa tunayo kichwani na ubinafsi uliokithiri. Fika hapo tu nchi za kaskazini Morocco, Algeria na Tunisia, wale jamaa usafiri si ishu, public transport zipo poa kabisa. Africa kusini mwa sahara kwa watu weusi tulilaaniwa.
Na hiyo laana unaanza kichwani. Sio kwingineko
 
Watu wana magari lakini bei ya mafuta ni kubwa kiasi ambacho huwezi kuwa na pesa ya kununua mafuta kila siku, hivyo kuna siku unalazimika kupaki gari na kupanda daladala ni hivyo tu yaani, kumiliki gari sio tatizo, kulimaintain ndio changamoto.
Sawa nimekuelewa na hoja yako. Ila bado haiondoi wimbi la hawa ninao wazungumzia
 
"nasikitika tu moyoni najiuliza hata 6M mtu anashindwa kweli kudunduiza akipata? Dah"

Dogo,
de Gunner i think siku utakayokua... Kiakili &kiumri...

Utakapotoka Kwa shemeji yako na kuanza kujitegemea, ukapata na familia inayokutegemea...ukiwa kama baba(kichwa cha familia)...

iko siku Utayakana haya maneno yako wewe mwenyewe!, ama utajutia maandiko haya kuwa huenda ndiyo chanzo cha tatizo!

Maandiko yanaishi!
 
Karma is not real mkuu.
Nilikuwa naiamsha jamii iliyo lala tu.

Sikuwa na nia mbaya ni watu tu na hasira zao
 
Sawa nimekuelewa na hoja yako. Ila bado haiondoi wimbi la hawa ninao wazungumzia
Wengine wanafamilia kubwa na majukumu pia mishahara midogo, lakini pia wamewekeza maeneno mengine sio kwenye magari, kuna watu ukiwashauri wanunue magari hawawezi kukuelewa kabisa, wengine madeni mengi yanawaathiri, amekopa amejenga nyumba kabla ya kumaliza mkopo linakuja hitaji lingine anafanya top up, kwa hiyo kuna top up juu ya top up bado taasisi nyingine za fedha, bado kwa mangi, bado viccoba, bado vyama vya kishikaji! watu wana balaa mbaya, toka nett ya 2.2m mtu anaweza kubaki na 400k, nyingine imeishia kwenye madeni. Nina mfano wa ndugu yangu wa karibu.
 
Wengine wanafamilia kubwa na majukumu pia mishahara midogo, lakini pia wamewekeza maeneno mengine sio kwenye magari, kuna watu ukiwashauri wanunue magari hawawezi kukuelewa kabisa, wengine madeni mengi yanawaathiri, amekopa amejenga nyumba kabla ya kumaliza mkopo linakuja hitaji lingine anafanya top up, kwa hiyo kuna top up juu ya top up bado taasisi nyingine za fedha, bado kwa mangi, bado viccoba, bado vyama vya kishikaji! watu wana balaa mbaya, toka nett ya 2.2m mtu anaweza kubaki na 400k, nyingine imeishia kwenye madeni. Huyu ninayemzungumzia ni ndugu yangu wa karibu.
Nimekuelewa mkuu una point.
 
Lazima tukuelewesha hata kwa bakora
Nimeelewa perspective hiyo sio nyie mnaokuja na maelezo yasio na mbele wala nyuma.

Na kingine isiwe ndo kisingizio cha application kwa kila mtu kuna watu wajinga wamejikatia tamaa na hawana majukumu mengi
 
Collola chafu aitoe wapi japo sijaisoma yote ila umemsikia anataja mjomba, si ajabu anaishi kwa mjomba wake
 
Back
Top Bottom