Iran Kwanini Hapigi Israel

Iran Kwanini Hapigi Israel

Kwa hio dogo Iran hatungui hizo ndege hahaha kweli wewe una akili za kuogota makopo wambie USA aruhusu watu wachukue video kwenye base zake zilivyo pigwa unajua USA kwenye mazungumzo ya amani alijipanga tena na kurudisha Radar kule Al Udeid air base, Qatar na Kuwait Al Sabah Air base na Baharain Al Issa Air base na Al Dhafar Air base kule UAE zote kazisafisha leo na huko Oman kapiga Radar jana pia Jordan karibu USA atainua mikono juu aombe solution kama kawaida yake na Iran alivyo Mhuni anamkubalia ili azidi kuleta silaha pale Gulf states ili apate kuzi target na wajinga wanadhani Iran ni mjinga kumbe Iran anaona mbali sana
Unamaliza mbao tu mkuu na maelezo mareefu! umesahahu Ayatollah kafa na wamezika na wao kwa nn wasimuue Trump au Netanyau badala ya kubweka tu
 
Endeleeni kujifariji tu Iran anapigika Kama kawaida!!
Vibaraka wake wanalia huko Baharain, Kuwait na Jordan kichapo alicho watembezea jana afu USA anakuambia askari wawili tu wamekufa hahaha
 
Acha siasa wewe, Iran uwezo mdogo. Nchi gani anga lake adui anarusha ndege, helcopters anavyotaka.

Nchi gani ambayo adui anajichagulia amuue nani amuache nani, amuue muda gani na sehemu gani?

We unaamini Iran anaweza ingiza pumbu zake Israel au USA na akatoka salama kama wenzake wanavyoingia kwake na kutoka salama?
Mara ngapi iran kapiga israel, tstizo gharam ya kuishambulia israel ni kubw sababu ni mbali n makombora mengine ynatunguliwa na nchi ynmopitbzo ni allies za marekani. Kutoka israel kuja irani ni almost 1800 km. Kushambulia umbali huo inahitaji akili kibwa. Israel yy ana nafuu sababu anatuma ndege kwenda kushambulia ambavyo ni gharama nafuu. Na ndege zinajaza mafuta kabla ya kugeuza israel. So hivi vi nchi iran ndo anavishughulikia kwanza.
Subiri wakatwe migui uone kitakachomkuta nyau
 
Kuna wajinga wengi wanauliza kwanini Iran haipigi Israel anapiga Gulf states na nchi kama Jordan na Syria pamoja na Iraq.

Ukweli Iran target yake ni kuitwanga Israel lakini kumbukeni hizo nchi ndio walinzi wa kwanza wa Israel kuna nchi zilikuwa zinangusha drones, Missiles za Iran zinawapa infomation Israel kama Missiles za Iran zinaelekea Israel kwa hio Iran anazisafisha kwanza hizo nchi afu kipondo atakacho pewa Israel ndio itakuwa mwisho wa Israel.

Time itaongea.
1.Kwa nini Venezuela Ina WAKRISTO 87% na mafuta yake yapo chini ya U.S.A?

2.kwa nini Iran in WAISLAM 90% na gesi zake na mafuta zipo chini ya JAMHURI YA KIISLAM YA IRAN?

3.Kwa nini nchi masikini zaidi duniani zipo kusini mwa jangwa ala sahala na 80% ya population yake ni wakristo?

4. Kwa nini Zanzibar Ina WAISLAM 99% na rasilimali zake za mafuta na gesi,si Mali ya muungano na rais mzanzibar yupo hapa anatawala na anauza migodi na rasilimali za bara kama mbuga za wanyama kwa bei ya kutupa?,huku per capital ya Zanzibar ikiwa ni $2500 huku ya Tanganyika ikiwa ni $1200

5.Kwa nini ISLAMIC REPUBLIC OF IRAN na ISLAMIC REPUBLIC OF AFGHANISTAN wanamiliki rasilimali zao,100%?
 
Maswali ya kijinga na kipumbavu kabisa!!
 
Maswali ya kijinga na kipumbavu kabisa!!
nijibu haya maswali mkuu niwe mwelevu kama wewe🙏🙏🙏🙏

1.Kwa nini nchi masikini zaidi duniani zipo kusini mwa jangwa la sahara na 80% ya population yake ni wakristo?

2.Kwa nini Zanzibar Ina WAISLAM 99% na rasilimali zake za mafuta na gesi,sio Mali ya muungano,wakati Mali za bara hata wazanzibar wanafaidika nazo,na rais mzanzibar yupo hapa anatawala na anauza migodi na rasilimali za bara kama mbuga ya kwa bei ya kutupa?

3.kwa nini per capital ya Zanzibar yenye WAISLAM 99% ni $2500 huku ya Tanganyika ikiwa ni $1200?

4.kwa nini ISLAMIC REPUBLIC OF IRAN na ISLAMIC REPUBLIC OF AFGHANISTAN wanamiliki rasilimali zao,100%?
 
Wajinga tu na wapumbavu wenzako ndiyo watajibu UHARO wako huu!!!
 
Back
Top Bottom