Ila kuna chawa wake walinikandia vibaya sana😂MSHANA JR ulitangulia kuliona mapema ndugu hongera sana🤠🤠🤠
kwasasa MAREKANI kiuchumi kabanwa
tena na KIJESH kumbe vijana wanamzoom tu.🤠🤠
Kaanzisha Vita hakijua kuna msaada atapokea mambo yakiwa sio..
msaada umegoma !!!
sasa lawama kwa watoa msaada🤠🤠
View: https://vm.tiktok.com/ZSXPGyQG4/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok