Recent content by high IQ

  1. H

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi Shinyanga,walificha gazeti la UHURU!

    Acha kulifanyia promo
  2. H

    JamiiForums Tanzania Dk Mwakyembe arejea nchini

    mwenyezi mungu atakuafu, akuepushie hili na lingine, maana yalisemwa mengi mala ooh amelishwa vinyonga vimembadili rangi pole sana Mwakyembe.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini IFM inatunuku shahada (Degree) wakati siyo Chuo Kikuu?

    Nadhani wewe ulisoma au unasoma ud. Pia tangu utoke kijijini hujarudi kwa kuona utashusha P yako. Vile vile kama umemaliza una gentlemaman grade na kizingizio ulichonacho ud elimu tight. ushauri, achana na mambo ya majina badala yake tumia elimu uliyonayo kujiletea maendeleo ya kwako na ya...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nauza mke wangu

    Tuwekee picha na C.V yake kwa undani. Kipengele cha weaknesses na strengths kisikosekane
  5. H

    JamiiForums Tanzania Vodacom - Mawakala wa M-Pesa - A shame!

    Ishu ni kwamba mitaji ni ishu. Vilevile suala la usalama wa pesa zenyewe. Ni risk kuwa na pesa nyingi sana kutokana na issue ya security
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ajali Ubungo Riverside

    poleni sana
  7. H

    JamiiForums Tanzania Report ya Jairo full text

    Sio kweli kama walisahaulika. moja ya mapendekezo ya tume ni watumishi wote walioshiliki kuchangisha au kufanikisha matumizi yale haramu wachukuliwe hatua sitahiki
  8. H

    JamiiForums Tanzania Wanawake njooni bedroom fungukeni, tujue mnataka mfanyiwe nini, semeniii yote hapa

    Very good imagination there is a smell of truth in it
  9. H

    JamiiForums Tanzania Bunge letu si bunge tukufu

    This is realy great thinking!
  10. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watikisa jimbo la Spika Makinda....

    kazi nzuri
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mitazamo yenu plz ktk hili...!

    Nadhani ulitaka kuandika kumridhisha
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mitazamo yenu plz ktk hili...!

    Wewe unaonaje? Fuata mtazamo wako
  13. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaopendwa kutunzwa na Mimama

    FF ni lijimama nini?
  14. H

    JamiiForums Tanzania Tangazo kwa wahehe wote

    Amaligo geki inoo. Mlaligaga vayangu akah. Mnogage mbenyuli?
Back
Top Bottom