Tangazo kwa wahehe wote

Moderator plz hii si mada ya kuipalilia inadhalilisha nisingependa iendelee kwani huu ni ubaguzi na ni ukabila na ni inami yangu tukitaka kuanza haya hatutafika mabali na hili jamvi si la mtu mmoja la litatumika vibaya sana, kuna makabila yakitajwa baadhi ya visifa vyao humu hii ni vita, so plz STOP IT!
Labda ni utani wa kikabila, huenda mtoa mada ni mtani wa Wahehe!
 
Chuo kipya kabisa cha kihehe kimefunguliwa kihesa.(HEHE SKILLS AND TECHINICAL COLLEGE OF LIFE)Kinatangaza kozi za mwaka 2011/2012 kama ifuatavyo,1.Kugema ulanzi miezi 62.Kusokota kamba za kujinyonga miezi 93.Kuchagua mbwa anaefaa kuliwa na mapishi yake miezi 84.Kuongeza hasira miezi 10-12Atakae jiunga mapema atapewa kozi ya upishi wa mkunungu pamoja na uoshaji wa mbeta.Ale asandeeULIMDESIi
 
Daa kozi ya kuimba hamna mana wahehe tulikuwa na nyimbo zetu zilikuwa zinabamba mpaka kwenye harusi. Na kufundisha kudua mana watu wamekulia mjin miguu mizito.
 
Mnyakuboma ushukuriwe sana kwa kutujulisha juu ya Chuo hiki muhimu. Nakushukuru sana maana nasisi hapa Kasulu tutapenda kupata skills hizo.
Chuo kipya kabisa cha kihehe kimefunguliwa kihesa.
(HEHE SKILLS AND TECHINICAL COLLEGE OF LIFE)
Kinatangaza kozi za mwaka 2011/2012 kama ifuatavyo,
1.Kugema ulanzi miezi 6
2.Kusokota kamba za kujinyonga miezi 9
3.Kuchagua mbwa anaefaa kuliwa na mapishi yake miezi 8
4.Kuongeza hasira miezi 10-12

Atakae jiunga mapema atapewa kozi ya upishi wa mkunungu
pamoja na uoshaji wa mbeta.

Ale asandee
 
Ushauri tu;Sifa za kujiunga ziwe zifuatazo;
  • Awe mnyaludodi.
  • Awe amebobea kwenye mbedasi.
  • Awe na viwango vya kimataifa vya GILA ili aweze fanikiwa.
  • Awe na mapenzi ya dhati kwenye UGIMBI.
  • Awe hajawahi onja NYULULU.
  • Awe tayari kula KIHAGI.
haaahaa! Ipo panya kihagi, undenyite imambaga saangu! Mwagito ukukikagula kihagi!!
 
myawe angalia mnya ikaya invisible asa kubanye, maneno makangafu igo. Ila mnyidamwa tz1 mnya uhulo.
Ambaanya nene be! Ve ugulwikwe lukwaale yidada! Mbaanywe mnyidama ! Labda pe sikidooma!Indoondo yidooma bwana lekaa maligo wita siwimbiti sule ndaah!
 
Ambaanya nene be! Ve ugulwikwe lukwaale yidada! Mbaanywe mnyidama ! Labda pe sikidooma!Indoondo yidooma bwana lekaa maligo wita siwimbiti sule ndaah!
nyongise mkwidada! Nkupela inyululu . Lool, pole mwagito. NguPM pa mbele tulonge unofu. Sambi kwa inya manyove.
 
Khekheeeeeee! kamwene nyevaaaah, mnoghee!
This is interesting...though ingeenda kule kwa udaku na vituko ingependeza zaidi.

BTW Kumbe tuko wengi hivi umu?

Twiwonagha nyevaaa.
 
kilonga nachene muvanzile maligo wahinza nye.. pe mwibatike na vanyidama muluona lwupyufi lwa liganga ii dada sekisinda kumagulillwa. ***** malefu ye andike ithread yii
 
ino ye ikwimbisa ikosi ye nani huyoo mhatufu wita imbwa nyiisi!
Uli mkotofu hilo na iga maligo makomi kwa vanyidama!
Bite kimbe yiveve mkotofu veh!

Tukutumbika yuveve mwanangisi mdodo veh! Yidada unyoko ifwaaha yeh yeh! Yidadaa kumiita.!
Mwana ilongela kwe sikulonga pe pa vaanu lilefuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom