Dk Mwakyembe arejea nchini

Its too early to be thankful about Mwakyembe's health by deluding ourselves that he is already untangled from the Pollonium effects. As I know Pollonium kills so slowly and in some cases Russian government critics took almost 10 years to have their organs completely devastated by this lethal poison. At this juncture, it is the matter of time before we understand about the demise of Mwakyembe but hoping that he will at all survive from death is such a chimera.

Siyo vyema kumutabiria mwenzio maangamizi
 
Siyo vyema kumutabiria mwenzio maangamizi

Ukweli utabakia kuwa ukweli. Amepewa sumu ambayo itamuua taratibu, yeye ni Dk anajua hilo. Kama ni kupona na arejee kwenye kazi ya kulipigania taifa kwa nguvu zote wengi tutafurahi. Lakini ni ajabu kuona kuwa kuna sumu ya namna hiyo Tanzania, ni vizuri tukijua imeingiaje Tanzania. Ni vizuri tukawaarifu CIA kuwa Tanzania kuna sumu ya aina hii ambayo ni nuclear material, kama kuna watu wanatumia kuua watu hapa Tanzania bila shaka inaweza kuchukuliwa hapa Tanzania kwenda kuua wengine katika nchi nyingine.
 
Tunamkumbusha tu kwamba asidhani ndio amepona. Akumbuke tu 'Pollinium 310' inaua taratibu. Inaweza chukua hata miaka miwili. Sisi tulimshauri asiingize kwenye serikali ya Mk*we*re akaona tunamwonea wivu! Haya hayo ndio matokeo yake!
Wewe mpu----vu, kwa Yesu Pollinium 310 ni kama maziwa fresh matamu ya ng'ombe wa kienyeji. Kwake yeye Jina lipitalo majina yote hakuna sumu. Kila kitu kimetakaswa. KARIBU NYUMBANI MPENDWA WETU. Asante Yesu Sifa kwa Yesu.
 
Tunamshukuru Mungu kwa kumuwezesha arudi salama. Tunasubiri kwa hamu ayaseme yale aliyoahidi kuyasema kwa uwazi atakaporudi nchini akianzia na yale aliyoliambia bunge kuwa waliamua kutokuyasema kwenye ripoti ya Richmond.
 
Its too early to be thankful about Mwakyembe's health by deluding ourselves that he is already untangled from the Pollonium effects. As I know Pollonium kills so slowly and in some cases Russian government critics took almost 10 years to have their organs completely devastated by this lethal poison. At this juncture, it is the matter of time before we understand about the demise of Mwakyembe but hoping that he will at all survive from death is such a chimera.

Its funny how u can speak with so much authority,as if u were the one who put that polonium in his water,..people of your kind need constant reminders of the power of God,you could be dead looong before we hear of dr. Mwakyembe's death..
 
Tunamkumbusha tu kwamba asidhani ndio amepona. Akumbuke tu 'Pollinium 310' inaua taratibu. Inaweza chukua hata miaka miwili. Sisi tulimshauri asiingize kwenye serikali ya Mk*we*re akaona tunamwonea wivu! Haya hayo ndio matokeo yake!

"On 1 November 2006, Litvinenko suddenly fell ill and was hospitalized. He died three weeks later, becoming the first confirmed victim of lethal polonium-210-induced acute radiation syndrome."
 
karibu kokaja mwalafyale, ( karibu nyumbani chief) Mungu ndio mwamuzi sio binadamu. Maisha marefu nakutakia Dr
 
By Mwita25 Its too early to be thankful about Mwakyembe's health by deluding ourselves that he is already untangled from the Pollonium effects. As I know Pollonium kills so slowly and in some cases Russian government critics took almost 10 years to have their organs completely devastated by this lethal poison. At this juncture, it is the matter of time before we understand about the demise of Mwakyembe but hoping that he will at all survive from death is such a chimera.

Shame on you, u deserve a hell
 
Sifa na Utukufu ni kwa Mungu,nakutakia kazi njema ila kweli itakuweka huru kweli kweli.ueleze watanzania ukweli halisi wa afya yako
 
mwenyezi mungu atakuafu, akuepushie hili na lingine, maana yalisemwa mengi mala ooh amelishwa vinyonga vimembadili rangi pole sana Mwakyembe.
 
Tunamkumbusha tu kwamba asidhani ndio amepona. Akumbuke tu 'Pollinium 310' inaua taratibu. Inaweza chukua hata miaka miwili. Sisi tulimshauri asiingize kwenye serikali ya Mk*we*re akaona tunamwonea wivu! Haya hayo ndio matokeo yake!

Kwahiyo afanyaje sasa?. Ina maana haina tiba?
 
Mungu wa Mbinguni ni mwema na uwezo wake hakuna awezaye kuupinga.....Dr umerudi Tunashukuru Mungu akupe maisha marefu zaidi na zaidi.....lakini Dr Usikaye kimya...nina hakika tayari magamba watakuwa wamekwambia usiseme kilicho kusibu...kama ukiwasikiliza basi nakuhakishia watakurudia na kukumaliza...sasa Dr sema kweli yote....usifiche kweli yote........kwasababu mwanzo ulitoa tahadhari na kuwapa Polisi ushahidi wako lakini hawakuufanyia kazi na kuonekana wewe ni muongo na mzushi......sasa sema yote ..na Mungu wetu yupo upande wako!!!! na ninajua unajua kuwa Mungu akiwa upande wako.............................kinyume na wewe.....Isaya 54:17
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom