Report ya Jairo full text

Na kwa huyu mabuha yatavunwa kweli na hili janga la jk litaicost TZ zaidi ya lile la Vita ya Uganda
 
Asante sana kwa ripoti maana wengine kupata vitu kama hivi ni adimu
 
saa sita mchana saa za afrika mashariki, mpaka sasa sijapata taarifa yoyote kuhusu maamuzi ya J.K ..muda unavyozidi kusogea na mimi nizidi kujiuliza, J.K anafikiria nini kuhusu Ngeleja ,Jairo na wahusika wengine..
 
Tume iliyoundwa kuchunguza ubadirifu wa fedha walizokula kina Jairo hawa kwanini hawakuhusishwa nao pia lazima sheria iwachukulie hatua tena kali sana ikiwezekana hata kufungwa!
PICHA+NA+2.jpg
 
Sio kweli kama walisahaulika. moja ya mapendekezo ya tume ni watumishi wote walioshiliki kuchangisha au kufanikisha matumizi yale haramu wachukuliwe hatua sitahiki
Tume iliyoundwa kuchunguza ubadirifu wa fedha walizokula kina Jairo hawa kwanini hawakuhusishwa nao pia lazima sheria iwachukulie hatua tena kali sana ikiwezekana hata kufungwa!
PICHA+NA+2.jpg
 
Kuwatambua itakuwa issue maana wengi wao wametupa migongo!
Jairo Luhanjo na Ngeleja wanatosha kuwawakilisha hao
 
Back
Top Bottom