Wanaume wanafanya na kujitesa vipi ili kuvutia wanawake kama wanawake wanavyofanya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume wanafanya na kujitesa vipi ili kuvutia wanawake kama wanawake wanavyofanya?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tausi Mzalendo, Nov 23, 2011.

 1. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  wanawake hujikondesha/kujinenepesha, hujichubua,
  Huvaa nguo za kubana ( cosettes, pelvic girdles etc) zenye kuumiza,
  na mengine mengi ili kuwafanya wavutie kwa wanaume wao.
  Hivi, wanaume nao wanajiumiza kwa ajili ya wanawake? Kama ndiyo, ni mambo gani wao hufanya?

  Nasubiri michango yenu akina The Boss, Kaizer, MMKJJ, NN,TF,Mbu, etc......fungukeni fasta!!
  Na wengine tafadhali msisite kusema..
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Nshaona wivu yaani hata jina langu hujalitaja na mimi nijione mtu kati ya watu, sichangii miee..........!
   
 3. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Sisi tunahitaji zaidi kumiliki mali ili mtupende, kwa hiyo ubabe katika kutafuta unatutoa jasho, lengo kuu ni kutaka kuwamiliki wanawake........ ingawa hata hivyo kwa wanawake umiliki wa mali sio lengo kuu............ kwa hiyo tunarudi pale pale kwamba kuwaza kwetu, ndoto zetu, na namna tunavyotafsiri mambo tunatofautiana sana na wanawake....................
   
 4. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Changia bana, mbona mie sijatajwa na nimechangia, wewe na mimi tunaingia kwenye kipengele cha 'etc'
   
 5. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamani Ndyoko..acha wivu...nilikuwa naja kukutaja kwenye awamu ya 10 bora lol....kimbelembele chako kimekuponza hadi umejishusha daraja..
  Haya Ndyoko funguka basi....au wivu ndio umewekeza ili kufurahisha mwanamke wako?
   
 6. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mtambuzi, Ndyoko, Kimey, Camaraderie, Nguli, mko wapi?
  Wapi MTM, BAK, babu Asprin,Mnyamahodzo,Mzizi Mkavu............
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  wala tusiwasingizie wanaume. ni kukosa kujitambua kwa maana ya kutafuta confidence from without!! kama unajiamini, huhitaji mwanaume akuambie mzuri ndio ujisikia mzuri. wewe ni mwanadamu, wa kike, uliyeumbwa in a unique way. huhitaji kuwa mweupe kama flani, ama mwembamba kama fulani. hivi ulishawahi kudhani kwa nini wachina hawako sana kwenye mambo ya urembo? kwa sababu hakuna diversity. tofauti yangu na wewe tausi mzalendo, ndio hasa ladha ya maisha. kuna dada mmoja anafanyaga diet hadi anazimia na kupata aneroxia anaenda kulazwa ulaya, mumewe ni alwatwan huku town.
  mtambuzi kasema wanaume wanapenda umbea:dada wa watu mrembo,she is flawless! najiuliza angeijua hiyo 'equipment' mumewe anayotoka nayo, ambayo ni skul mate wangu nadhani yule dada angeweka miguu juu na kufurahia maisha aliyoyachagua!
  if u dont take no sh*t from nobody; nobody can give u no sh*t. not even ur boss,lol!
   
 8. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,440
  Likes Received: 9,090
  Trophy Points: 280
  MWANAUME KUWA NA MALI SAWA NA DEMU KUWA MZURI...- mwanaFA
   
 9. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  S*T happens all the same for no reason King'asti..
  but you know what? "Attraction" nis an important ingredient..sizungumzii tu "uzuri" ambao ni subjective bali nazungumzia ukweli wa maisha.Unajua kuna wanaume wanaazima vitu mfano nguo, gari, etc ili tu ku impress a woman? Ninachotaka kujua ni vile vitu vyenye kuumiza ambavyo wanaume hufanya just bcoz ampate mdada.Forget about self-esteem theories for now ili tuweze kufurahi mjadala.
   
 10. R

  Rubuye123 JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,443
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  hapa mkuu mtambuzi una-generalise sana bana na unakosea!mimi kaka sitafuti mkwanja kwaajili ya mwa/wanawake eti wanipende!natafuta kwaajili yangu mwenyewe as maisha yanakuwa a bit easier ukiwa nazo.sifanyi chochote to wow ladies(labda hii ni miongoni mwa tabia zangu mbaya au labda mi mbinafsi au nina kiburi but THAT'S ME)!kama kapenda apende nilivyo,i wont push her to love me hata afanye mengine yatakayomuumiza and i expect the same from her.mambo yakianza tu kuwa tofauti mkataba wetu utakwisha with immediate effect au njia mbadala za ku-co- habit zitakuwa adopted!
   
 11. R

  Rubuye123 JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,443
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  da tausi ukifanya kama hapo nilipo bold kweli tunaaweza furahia mjadala ila hatutakuwa realistic.mtu anaeazima nguo au gari and alike maana yake anajaribu kutengeneza taswira asiokuwa nayo kwa mlengwa,maana yake hayuko halisi hata kidogo.maana yake hajiamini kwa vile alivyo anaweza,maybe,kumpata mwanamke anaemtaka,akidhani kwamba huyo msichana/mwanamke labda yuko kwenye hadhi ambayo yeye hayuko na anajaribu kuifikia!these people are fake na namshukuru Mungu mi ni mwanaume.sijui wanawake wanachukuliaje watu sampuli hii,hivi hamuoni kama wanatukana hivi!!?
   
 12. h

  high IQ Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanabeba chuma
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  lol....la msingi kwangu ni kujiweka fit (afya njema,) smart, na muhimu am happy being myself bana...
  mambo ya kujifananisha, au kujibebesha nondo nifanane na Power Mabula, au soap soap za kufa mtu kama
  prezidaa Nyoshi el Saadat aka mzee wa ngwasuma, hapana!

   
 14. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hili la chuma nalo neno! Kumbe wakaka mnajifua Gym ili kuwadatisha akina dada ehh?
  Kuna mikaka unaiona ina vifua vya kufa mtu 6 Pac si 6 pac utadhani kaweka kigoro ndani ya kifua!
  Mi binafsi nikiona mtu wa namna hiyo namuogopa kweli maana
  akikuchapa kofi utakufa hapohapo lol...
   
 15. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...lol...weight lifting madhara yake ya ndani ni makubwa kuliko muonekano wa nje...
  nguvu zinahama toka sehemu nyeti, na kuhamia zisiko hitajika mara kwa mara,
  aheri aerobics bana.
   
 16. E

  Edo JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Tumbo bana linanitesa, nahangaika kupunguza!
   
 17. R

  Rubuye123 JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,443
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  ooh samahani tausi....nimeposti wakati siko kwenye orodha.ipotezee tu kama vipi!
   
 18. Mti Mkavu

  Mti Mkavu Member

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 20, 2008
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kuna msemo kwa lugha ya ndg. zetu ilitamkwa hivi:-
  "Girls we love for what they are; young men for what they promise to be" Hii nadhani itakuwa imeeleweka.
   
 19. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Tausi umenikumbusha kisa kimoja kuna mshikaji wangu alikuwa na rafiki yake, huyu rafiki yake anafanya kazi Gym as an Instructor wa mazoezi sasa mabinti wakawa wanampenda sana jamaa kutokana na they way his body was built, sasa huyu jamaa mwingine nae akashikwa na wivu akaamua naye kuingia Gym kwa hasira ili na yeye awavutie mabinti matokeo yake yakawa tofauti the tactic never worked.
   
 20. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #20
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Mtambuzi amemaliza kila kitu hapo!
   
Loading...