Recent content by hesbone

  1. hesbone

    JamiiForums Tanzania Trade Off: Simba Na Azam

    Wape chikwende na kagere chukua dube na hela kadhaaaa wape
  2. hesbone

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Naomben link wakuuu
  3. hesbone

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    dah
  4. hesbone

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma kuhusu tuhuma za kula ada za watoto

    mwenyekiti tuvushe
  5. hesbone

    JamiiForums Tanzania Arusha yalipuka kwa shangwe baada ya Gambo kutumbuliwa

    njoo pin point meza ya pili toka mwisho tupo kama saba hivi tunashangilia
  6. hesbone

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuitambua hii 'misemo' ya Mbwiga?

    Huwezi kumsusia nguruwe shamba la mihogo.
  7. hesbone

    JamiiForums Tanzania Polisi kitengo cha Makosa ya Mtandao hakifanyi kazi kwa jinsi ilivyotarajiwa!

    Mimi ni muhanga walipewa dili na mtu alieniuzia simu ambayo alikuwa anaitumia takriban mwaka na kitu..tuliuziana kwa maandishi bila risiti hawa jamaa walishirikiana na aloniuzia wakasema simu imefanya tukio sehemu laki saba ikaibiwa na mtu akapewa madawa akazimia akaibiwa na cm..hawa jamaa...
  8. hesbone

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi unapata wapi ujasiri wa kutembea/kulala na mke/mme wa mtu?

    Wiki ijayo mungu akipenda naenda chakata mke wa mtu,ni mtu mzima sana so nikifanikisha ntaleta mrejesho ujasir nimetoa wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. hesbone

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za ndani kama vile kufua, usafi, madukani au hotelini

    Morombo kuna kaz nying za migahawani na bar.,kama unaweza mkuu sogea huku hakika pakuanzia utapata Sent using Jamii Forums mobile app
  10. hesbone

    JamiiForums Tanzania Una duka dogo la rejareja, mtaji ni mdogo na umezungukwa na maduka mengi na ushindani ni mkubwa?

    Ubarikiwe mkuu tena narudia ubarikiwe kila ulichoandika umenigusa hakika nabadilika kuanzia muda huuu....mkuu narudia tena ubarikiwe kwa uzi huu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. hesbone

    JamiiForums Tanzania David Silinde: Nilivutiwa sana na aina ya siasa za Dkt. Slaa na Zitto Kabwe ndipo nikajiunga CHADEMA

    Naona sasa ameanza alikwa vituo vya chama...hahaha mnafiki huwa hajifichi kesho atakuwa laiv uhuru fm Sent using Jamii Forums mobile app
  12. hesbone

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupewa hela na wanawake

    Sasa hivi ni dakika chache nimetoka kupokea simu ya mwanamke wangu wa kiha sh 170000..simu imeita akasema njoo chukua hii hela uzungushe. Huyu dada kunipa hela kwake nikutokana na nisimuache maana anajua mi nina demu mzuri kuliko yeye hivyo anatumia hyo mbinu ili nimuoe mbeleni Sent using...
  13. hesbone

    JamiiForums Tanzania Njoo tushuke mistari ya za kitambo

    Kweli dunia ina mambo tena dunia inamambo vijambo toka kitambo,kama ukifata mkumbo utakwenda kombo...bora unyamaze tuu ujifanye hauna makuuu ukipata unakula kuku ukikosa unanyamaza tuuuuuu
  14. hesbone

    JamiiForums Tanzania Yajue Makundi ya watu na tabia zao

    Sijaona ukiongelea wanawake wanene,uzi hauna maana Sent using Jamii Forums mobile app
  15. hesbone

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kumuoa usimtangulizie fedha

    Naona unaelezea filamu za kibongo zilivo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom