Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,711
- 63,395
- Thread starter
- #21
Ni vigumu kujua kama zikiisha atakuwa na uvumilivu ganiTupo tofauti sana mimi nampa pesa
Ni vigumu kujua kama zikiisha atakuwa na uvumilivu ganiTupo tofauti sana mimi nampa pesa
Naelewa sisi wanaume huwa tuna nena kwa lugha ahsante kwa ushauri wako..ha ha ha ni wazo tu mkuu
ha ha ha hela kukata ni rahisi kuliko kuongezekami natafuta mwanamke atakayependa hela zangu ili siku atakayoniacha nijue ameniacha kisa hela zimekata
Naona unaelezea filamu za kibongo zilivoKuna siku nlikua naendesha pikpik nikakutana na dada mkali sana (mrembo) nikamuomba namba ya simu akanijibu tafuta typ yako mm siwez kutoka na bodaboda
Baada ya muda kupita alikuja ofis ninayo fanya kaz alishtuka sana kuniona pale akamtuma bint mmoja aje amsaidie kuniomba msamaha wakat hakuna kosa alilofanya
Sent using Gun Trigger
Mmmh kwani alikukuta ofisi gani?😐Kuna siku nlikua naendesha pikpik nikakutana na dada mkali sana (mrembo) nikamuomba namba ya simu akanijibu tafuta typ yako mm siwez kutoka na bodaboda
Baada ya muda kupita alikuja ofis ninayo fanya kaz alishtuka sana kuniona pale akamtuma bint mmoja aje amsaidie kuniomba msamaha wakat hakuna kosa alilofanya
Sent using Gun Trigger
Muonyeshe hali halisi yakwako. Simple. Hasa ukita kumuoa.Mwanamke wa kumuoa usimtangulizie fedha hata siku moja katika mahusiano yenu, hata kama uko vizuri kiuchumi. Katika mapenzi yenu ya mwanzoni jishushe kabisa na asijue shughuli unayoifanya; hata kama una magari na majumba, usijionyeshe kabisa.
Unaweza kumwambia unafundisha chekechea, shule ya msingi, mshona viatu, mzibua vyoo n.k ili upate uhakika wa anachokupendea.
Je, anakupendea kazi, pesa au anakupenda jinsi ulivyo.
Mmmh ukifanya hivyo watoto wazuri utawasikia kwenye bomba, maana hamna mtu anapenda shida.Mwanamke wa kumuoa usimtangulizie fedha hata siku moja katika mahusiano yenu, hata kama uko vizuri kiuchumi. Katika mapenzi yenu ya mwanzoni jishushe kabisa na asijue shughuli unayoifanya; hata kama una magari na majumba, usijionyeshe kabisa.
Unaweza kumwambia unafundisha chekechea, shule ya msingi, mshona viatu, mzibua vyoo n.k ili upate uhakika wa anachokupendea.
Je, anakupendea kazi, pesa au anakupenda jinsi ulivyo.
Tatizo hela huwa hazijifichi,kama unazo na ukamuonyesha maisha halisi...unaweza ukapata 'fake'Muonyeshe hali halisi yakwako. Simple. Hasa ukita kumuoa.
Kama huna mpango wa kuoa bali kumtumia kwa starehe, weka hela mbele kama tai.
Siku ukimchoka, ishiwa hela, ataondoka mwenyewe bila ugomvi.
Watoto wazuri ni kwa ajili ya kuwatafuna tu,hakuna kuoa.Mmmh ukifanya hivyo watoto wazuri utawasikia kwenye bomba, maana hamna mtu anapenda shida.
Ushauri ; we weka fully package mezani hayo mengine ni matokeo tu.😂
😂😂😂hatari, huyu ndio demu wako? Mashallah anamzigo punda habebi 😂😂😂Watoto wazuri ni kwa ajili ya kuwatafuna tu,hakuna kuoa.
View attachment 1437736View attachment 1437737View attachment 1437738
ha ha ha ha hapana mkuu😂😂😂hatari, huyu ndio demu wako? Mashallah anamzigo punda habebi 😂😂😂
Kama itatokea akawa na mapenzi wakati fedha huna,itakuwa vizuri pia...ingawa huwa ni kubahatishaUnaweza kutumia pesa kumpata mrembo,then baadae akafall in love deeply kwa jinsi unavyomtreat
Wote tu mkuu,ambaye unategemea hapo baadaye umpandishe cheo aitwe mke
Take note, hii pia inaweza kukukosesha wa kukuoaMwanamke wa kumuoa usimtangulizie fedha hata siku moja katika mahusiano yenu, hata kama uko vizuri kiuchumi. Katika mapenzi yenu ya mwanzoni jishushe kabisa na asijue shughuli unayoifanya; hata kama una magari na majumba, usijionyeshe kabisa.
Unaweza kumwambia unafundisha chekechea, shule ya msingi, mshona viatu, mzibua vyoo n.k ili upate uhakika wa anachokupendea.
Je, anakupendea kazi, pesa au anakupenda jinsi ulivyo.
Ki vipi mkuuTake note, hii pia inaweza kukukosesha wa kukuoa
Si kweli Kiongozi.Tatizo hela huwa hazijifichi,kama unazo na ukamuonyesha maisha halisi...unaweza ukapata 'fake'