Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 39,156
- 79,385
Hawa ni wanachama wa ccm kweli au wafuasi wa mfalme Zumaridi?Hizo hapo View attachment 1483737
Hawa ni wanachama wa ccm kweli au wafuasi wa mfalme Zumaridi?Hizo hapo View attachment 1483737
Kama kilivyotulia cha nyokomwana?Kumbi gani bwashee?
Niko Arusha...... Kumetulia sana!
njoo pin point meza ya pili toka mwisho tupo kama saba hivi tunashangiliaKumbi gani bwashee?
Niko Arusha...... Kumetulia sana!
Kumbi gani bwashee?
Niko Arusha...... Kumetulia sana!
Ngedere wa upinzani mitandao mnaiona nchiKwa jiwe si uliona ilipovumishwa kwamba amedanja kulivyokuwa na maandamano kwenye social media? Wala asijipe matumaini kwamba anapendwa, hakuna anayempenda kwa dhati bali ni kwa ajili ya kusaka tonge!!
Hata moto soko la Samunge anatajwa kuhusikaKinachoendelea muda huu katika kumbi mbalimbali za starehe jijini Arusha ni shangwe na nderemo baada ya Mrisho Gambo kutumbuliwa.
Gambo anakumbukwa kwa chuki na fitina za wazi alizokuwa akizieneza kwa kwa viongozi wenzake na kusababisha kuondolewa madarakani.
Gambo amewaumiza sana wanaarusha kiasi cha wengine kuyumba kibiashara kutokana na tabia yake ya kuwachangisha michango mbalimbali kila wakati.
Takukuru inatakiwa kumchunguza Gambo kufutia taarifa kwamba amekuwa akitumia vibaya michango ya wadau kwa kujineemesha mwenyewe na taarifa zinadai kwamba amekusanya zaidi ya bilioni 1 kwa ajili ya kupata ubunge Arusha Mjini ,fedha zinazodaiwa kutoka kwa wafanyabiashara mbalimbali jijini Arusha.
View attachment 1483687
Eti kakusanya 1 billion za michango.
Wewe si baamedi? Hiyo baa yenu imepoa siku zote. Hamia kwingine achana na mme wa mtuKumbi gani bwashee?
Niko Arusha...... Kumetulia sana!
Siyo bwashee ni BUASHEE 😡😬😬😬Kumbi gani bwashee?
Niko Arusha...... Kumetulia sana!
Joyce Mukya amekusikia manka!Wewe si baamedi? Hiyo baa yenu imepoa siku zote. Hamia kwingine achana na mme wa mtu
Yani hii inaweza vunja rekodi zote dunianiHata ikitokea kwa Jiwe, Countrywide kutakuwa full Shangwe
Arusha Sehemu Gan? UpoKumbi gani bwashee?
Niko Arusha...... Kumetulia sana!
Inawezekana...amefumua jumba kubwa sana na anachangisha sanaEti kakusanya 1 billion za michango.
Kinachoendelea muda huu katika kumbi mbalimbali za starehe jijini Arusha ni shangw
e na nderemo baada ya Mrisho Gambo kutumbuliwa.
Gambo anakumbukwa kwa chuki na fitina za wazi alizokuwa akizieneza kwa kwa viongozi wenzake na kusababisha kuondolewa madarakani.
Gambo amewaumiza sana wanaarusha kiasi cha wengine kuyumba kibiashara kutokana na tabia yake ya kuwachangisha michango mbalimbali kila wakati.
Takukuru inatakiwa kumchunguza Gambo kufutia taarifa kwamba amekuwa akitumia vibaya michango ya wadau kwa kujineemesha mwenyewe na taarifa zinadai kwamba amekusanya zaidi ya bilioni 1 kwa ajili ya kupata ubunge Arusha Mjini ,fedha zinazodaiwa kutoka kwa wafanyabiashara mbalimbali jijini Arusha.
View attachment 1483687
Diwani u hali gani?Ukumbi gani sherehe inafanyika nije kuwa MC?
Ndiyo...hata kwa ajari tu..nchi italipuka kwa shangweAkifa na corona au?