Nimetoka muhimbili nimekuta hali ni mbaya wagonjwa wametangaziwa mgomo na madaktari mwenye mgonjwa aende kuchukua ndugu yake. Nimemkuta bibi mmoja analia sana anasema sina uwezo sina ndugu nimekuja muhimbili na huku mgomo... Magari ya wagonjwa kutoka mwananyama, temeke, ilala wanarudishwa huko...
tanzania sasa hivi kuna udini sana zamani ilikuwa ukabila mara wachaga,wahaya,wanyakwisa. Leo uislam na ukristo. Waislam wanadini yao na wakristo wanadini yao hivi tatizo nini....
ndio maana nyie brother mkimaliza vyuo mnakosa kazi kwa kukaa sana mitaani kwa kuombea sisi ndugu zenu mabaya.... Jua ukila damu ya mwenzako basi subiri na yako kuliwa.
Wajua kuna watu wanaudini sana kujifunza ni jambo la kawaida tu kwani yeye anajifunza au anaingia uislam..... Tuwache udini unavyopenda wewe sio mpaka mwenzako pia hapende. Ukristo,uislam na kama huna dini vyote hivi ni juu yako na mungu wako. Sio ukiwa muislam lazima mwenzako hawe muislam...
MiMI ni mtanzania tena wa asili. Ndugu zangu tuwe wakweli uwaga jinsi unavyo jiona wewe tofauti na wengine. Naona tabu sana ninavyoona vitu vinavyoenda nchini masikini na tajiri kunatofauti kubwa sanaaaaa.. tofauti na dhamani urasimu tele na ubinafsi kwa wachache... Leo tunaaga mwaka...
kitu simple kutambulike tu.. Tanzania ni nchi isiyo na dini lakini wananchi wake wana dini kwenye mkusanyiko wakila jambo waumuni watengezewe nyumba za ibada zao. Mbona leo tukiwa kwenye mchanganyiko baina ya mwanaume na mwanamke katika mavyuo wanaume wanajengewa sehemu za kukojolea na wanwake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.